Hizi ni hypothesis za vijiweni tu lkn MAELEKEZO ya Mafwele hayasemi hivyoni homa ya uchaguzi tu hao madhulumati watamuachia after 29th !
Huna codes zozote na Heche watamwachia. Alivyochukuliwa Heche vs Mdude au Polepole ni tofauti. Japokuwa nimesikia uhamiaji walipokuwa wamezua kuwa Heche kaingia Kenya bila kufuata utaratibu walikuwa na nia ya kumchukuwa kwa kificho halafu wasingizie alikwenda Kenya.Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapoteza na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Wahuni wanabadili mbinu ktk kila tukio, lkn madhumuni ya kila tukio ni yale yale. Na ndiyo maana mbinu tofauti zimetumikq kwa Kibao, , Polepole, Mdude na sasa Heche.Huna codes zozote na Heche watamwachia. Alivyochukuliwa Heche vs Mdude au Polepole ni tofauti. Japokuwa nimesikia uhamiaji walipokuwa wamezua kuwa Heche kaingia Kenya bila kufuata utaratibu walikuwa na nia ya kumchukuwa kwa kificho halafu wasingizie alikwenda Kenya.
🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Kwa mfano ikatokea kweli akapotezwa (Mungu aliepushie mbali) au akarudishwa akiwa na majeraha, amepigwa, yuko hoi kama yule Padri aliye "tupwa" msituni wakasingizia alijiteka, kisha raia wakaliacha lipite hivyo hivyo bila any heavy reactions itabidi wanaharakati na wapigania mageuzi watuache tu tufanywe wanavyotaka hao wanamtandao maana hakuna tunalowezaIkifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Hakuna kitu kitafanyika hata wakiuwawa kwa uwazi kabisa wakasingiziwa ni vibakaKwa mfano ikatokea kweli akapotezwa (Mungu aliepushie mbali) au akarudishwa akiwa na majeraha, amepigwa, yuko hoi kama yule Padri aliye "tupwa" msituni wakasingizia alijiteka, kisha raia wakaliacha lipite hivyo hivyo bila any heavy reactions itabidi wanaharakati na wapigania mageuzi watuache tu tufanywe wanavyotaka hao wanamtandao maana hakuna tunaloweza
Kwa mfano ikatokea kweli akapotezwa (Mungu aliepushie mbali) au akarudishwa akiwa na majeraha, amepigwa, yuko hoi kama yule Padri aliye "tupwa" msituni wakasingizia alijiteka, kisha raia wakaliacha lipite hivyo hivyo bila any heavy reactions itabidi wanaharakati na wapigania mageuzi watuache tu tufanywe wanavyotaka hao wanamtandao maana hakuna tunaloweza
Itakuwa vigumu sana kumpoteza. Wamemchukua mbele ya macho ya Dunia asubuhi na wamekiri wanae wanampeleka Tarime.Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Heche kakamatwa mbele ya umma hawawezi muua. Hapo zaidi watampa kesi isiyo na dhamana ili wamtoe baada ya uchaguzi.Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Ngoja niviandike vema virefu hivi vya JWTZ;-Hilo jwtz kirefu chake ni
Jeshi la waoga Tanzania
Jeshi la wanaccm Tanzania
Jeshi la walanchi Tanzania