Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,363
- 18,654
Itisheni baraza kuu acheni kutishia nyauJohn Heche
Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.
View attachment 3332945
HIv mafala kumbe bado wapo??Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute chadema kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Kama kile chama chenu kinachotetewa na ustadh mla nguruwe mwaipopo?Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute chadema kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
😡Natoa wito kwa msajili wa vyama aifute chadema kama chama cha siasa na kisajiliwe kama kikundi cha kikatoliki
Ubaya UbwelaSafari hii ubaya umekutana na ushetani.