Heche azuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,744
Reaction score
2,604
Screenshot_20250621_141918_X.jpg

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.

Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho zinasema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo kiongozi huyo hapaswi kushiriki.

Katika kipindi cha kesho, Heche ilikuwa akutanishwe na watendaji wa Serikali.

CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.

Katika madai yao, walalamikaji wanadai kutokuwepo kwa mgawo halali wa mali za chama hucho kati ya Bara na Zanzibar.

IMG_4852.jpeg
 
Serikali.

CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.
Hadi kesi itakapoamuliwa ama ni kwa siku 14 tu?
 
View attachment 3377713

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.

Taarifa kutoka kwa mmoja wa wanandaaji wa kipindi hicho aliyeomba kuhifadhiwa jina lake, amesema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo kiongozi huyo hapaswi kushiriki.

Katika kipindi cha kesho, Heche ilikuwa akutanishwe na watendaji wa Serikali.

CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.

Katika madai yao, walalamikaji wanadai kutokuwepo kwa mgawo halali wa mali za chama hucho kati ya Bara na Zanzibar.
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Nikuendelea kuwapa mailage CDM zuio la mahakama nikuzuia kutumia mali za CDM sio watu kuzungumza barua hiyo itakua ya manjagu tu kama kwa Gwaji boi sasa kama mnawazuia watu kuongea mnataka wakaongekee wapi?
 
Namuomba Mungu Samia afe kabla ya uchaguzi
Lakini bila shaka unajuwa.
Hili siyo la Samia peke yake, hili ni la GENGE zima linalo simamia ajenda ya kuiteka CCM, na Tanzania kwa ujumla.

Samia akifa leo, Genge hilo chini ya Kikwete litampata mwingine kwenye Genge lao kuendeleza haya tunayoyaona leo.

Pengine labda uombe Kikwete na Samia wote waondoke kwa mpigo, na Genge kusambaratika.
 
View attachment 3377709

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.

Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho zinasema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo kiongozi huyo hapaswi kushiriki.

Katika kipindi cha kesho, Heche ilikuwa akutanishwe na watendaji wa Serikali.

CHADEMA imezuiwa kufanya kazi hadi kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Issa Khamis na wenzake wawili itakapoamuliwa.

Katika madai yao, walalamikaji wanadai kutokuwepo kwa mgawo halali wa mali za chama hucho kati ya Bara na Zanzibar.

View attachment 3377804

"Inabadilika kuwa ' kitchen part talk'"
 
Sasa kipindi bila chadema kuna mvuto kweli hapo? Washafeli tena labda waisogeze mbele tarehe ya show.
 
Hadi hapo kipindi kimepoteza relevance.

CCM wanashindana na kivuli chao.
 
Back
Top Bottom