Heche ataka madereva wa serikali kulipwa pensheni

malemba

Senior Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
177
Reaction score
175
Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine."

Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?

Unatoa post alafu unajisahau kubadilisha ID zenu za CCM ukajibu hapo hapo
Screenshot_20261003-081349.png
 
Uwezi kuelewa kama ubongo wako umejaa kamasi. Kwa kifupi madereva fani yao haitendewi haki, wana changamoto nyingi sana ambazo hazitatuliwi miaka na miaka hasa maslahi.

Wanafanya kazi kubwa sana ila hakuna mifumo mizuri ya kuwafanya wanufaike na kazi yao. Makampuni mengi hayatoi mikataba kisheria na hii inapelekea ukandamizaji wa haki zao ikiwepo na hiyo ya mafao ila serikali ipo tu na inaangalia.

Mazingira ya kazi ya udereva ni magumu sana wanaofanya nao kazi kwa ukaribu watanielewa.
 
Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
anatumia excessively,
eti anajifanya ni international anachanganya na ugoro ule wa kutoka Sweden 🐒
 
Nilifikiri kuna hoja ya kibangi kutoka kwa heche, kumbe mleta mada ndo katoka kuivuta. Unataka dereva ndo ajichangie nssf? Kujiunga huwa siyo takwa la mwajiriwa bali ni takwa la kisheria kwa mwajiri kuhakikisha waajiriwa wake wanapewa huduma za kuwa kwenye mifuko ya kijamii. Unataka mwendesha bus la shabiby au abood ndo akahangaike na kujiunga ilihali serikali haijaweka sheria ya wamiliki kuwaweka madereva kwenye nssf?
Nb. Mchangiaji mkuu wa nssf si mwajiriwa bali ni mwajiri. Weka utaratibu wa wenye makampuni ya mabus kuwaweka waajiriwa wao kwenye mifuko ya kijamii
 
Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Usikurupuke kwa jambo usilolijua, ipo sheria ya hifadhi za jamii ambayo inamtaka mwajiri mwenye idadi fulani ya wafanyakazi awaunge kwenye mfumo wa pensheni, kama ni mmoja au wawili ni hiari yako kujiunga.
Kutokana na sheria hiyo mifuko ya hifadhi ya jamii inawajibika kukagua makampuni na kuyawabibisha kuwaingiza wafanyakazi wao kwenye mifuko ya jamii.
Mchukie mtu kwa tendo baya na si kwa ujinga wako wakati umchukiae yuko sahihi.
 
Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Wewe Anko T wa zamu hujui lolote Linda mgongo wako Kwanza. Huko NSSSF ndo mlipitisha sheria Mtumishi mpaka afikishe miaka mingapi sijui ndo achukue pension? Heche yuko sahihi, kama Dereva akichangia mfuko WA akiba miaka 5 akifukuzwa apewe hela yake akaendeleze maisha na Mtaji wake.
 
Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Huyo siyo bangi tu alitakiwa awe mirembe, shida ya chadema wanafikiri watanzania wote ni mazombie km hao wafuasi wao. Kila siku NSSF unashawishi watu wajiunge nao, ina maana yeye Heche hajui maana ya pensheni? Nani akupe penshen km hukujiunga na kuchangia mfuko wa penshen kwa miezi isiyopungua 180? Hakuna mtanzania mwenye akili anaweza kuwasikiliza hao mambwa! Wapuuzwe hao mambwa waongo!
 
Uwezi kuelewa kama ubongo wako umejaa kamasi. Kwa kifupi madereva fani yao haitendewi haki, wana changamoto nyingi sana ambazo hazitatuliwi miaka na miaka hasa maslahi.

Wanafanya kazi kubwa sana ila hakuna mifumo mizuri ya kuwafanya wanufaike na kazi yao. Makampuni mengi hayatoi mikataba kisheria na hii inapelekea ukandamizaji wa haki zao ikiwepo na hiyo ya mafao ila serikali ipo tu na inaangalia.

Mazingira ya kazi ya udereva ni magumu sana wanaofanya nao kazi kwa ukaribu watanielewa.
Ndio je wameomba kujiunga NSSF na wakakataliwa?
 
Huyo siyo bangi tu alitakiwa awe mirembe, shida ya chadema wanafikiri watanzania wote ni mazombie km hao wafuasi wao. Kila siku NSSF unashawishi watu wajiunge nao, ina maana yeye Heche hajui maana ya pensheni? Nani akupe penshen km hukujiunga na kuchangia mfuko wa penshen kwa miezi isiyopungua 180? Hakuna mtanzania mwenye akili anaweza kuwasikiliza hao mambwa! Wapuuzwe hao mambwa waongo!
Huyo siyo bangi tu alitakiwa awe mirembe, shida ya chadema wanafikiri watanzania wote ni mazombie km hao wafuasi wao. Kila siku NSSF unashawishi watu wajiunge nao, ina maana yeye Heche hajui maana ya pensheni? Nani akupe penshen km hukujiunga na kuchangia mfuko wa penshen kwa miezi isiyopungua 180? Hakuna mtanzania mwenye akili anaweza kuwasikiliza hao mambwa! Wapuuzwe hao mambwa waongo!
Safi sana ndugu .mimi nashangaa hawa chadema wanamsapport huyo heche.
 
Ukiwa mkweli basi wapuuzi,wapumbavu,anko T na wajinga wanajionesha
Hakuna mpumbavu anakuzidi wewe ho duniani ndiyo maana hao wasenge wanapata wafuasi. Yaani huoni ht haya? Upewe peshen na mfuko upi? Uliwahi kuchangia? Ukiwaambia wafuasi wa chadema ni CULT muwe munaelewa! Upewe penshen ilhali hukuchangia popote? Mungu awasaidie hawa wapumbavu
 
Screenshot_20261003-071059.png
 
Back
Top Bottom