Heche atafuta umaarufu msibani

Heche atafuta umaarufu msibani

Status
Not open for further replies.
Ni kawaida yao CDM .. je unakumbuka msiba wa mwangosi..?
 
Baada ya kutokea mauwaji ya mtoto Deus Jacobo,aliyepigwa risasi na askari polisi katka mtaa wa Songambere kata ya Sababa Tarime Mjini siku ya Alhamis tarehe 9.May.2013 majira ya saa nane mchana hatmaye siku ya mazishi ikawadia kama kawaida.

Ikawa ni siku ya Jumamosi majira ya saa sita mchana mh.Heche akafka maeneo hayo akiambatana na wapambe wake kutoka kata moja inayomuunga mkono ikiamini kuwa lazma awe mbunge 2015,mara ratiba ikaanza kusomwa na kuzingatiwa na m.c chini ya uratibu wa wanafamilia ya marehemu,alianza kupewa nafasi mchungaji ili kutoa neno mahala hapo,akafuatiwa na mwenyekiti wa mtaa aliyewashukuru wananchi pamoja na kusikitishwa kwa kuchafuliwa ya kwamba amehongwa na jeshi la polisi ili mwili uzikwe. Aliwaasa wananchi waachane na majungu kwani yeye wanamjua utendaji wake na sio hulka yake kupewa rushwa,aliyefuata alikuwa msemaji wa jeshi la polisi ambaye ni kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rolya, yeye alisisitiza kuwa hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhuska wa mauwaji hayo,na kuwaomba wananchi watulie wawe wavumilvu na wamwamini,aliyefuata alikuwa ni DC alitoa salamu za serikali na rambirambi kwa wafiwa na kulaani kitendo hicho kwa niaba ya serikali.

Ikawa sasa ni nafasi ya diwani wa kata hiyo yeye pamoja na kusifia kazi za kamanda wa polisi kwa jitihada zake kuwarekebisha tabia mapolisi wasio waadirifu pia alitaka hatua zichukuliwe haraka na kusiwe na usiri kwa kumfikisha mtuhumiwa huyo mahakaman sheria ichukue mkondo wake,mwisho ukawadia wakati wa kuaga mwili wa marehemu huku mh.Heche asijue nini la kufanya baada ya kukosa fulsa ya kutumia msiba huo kama jukwaa la kisiasa,huku wapambe wake wakionekana kukerwa na kitendo cha kumnyima nafasi boss wao huyo walianza konong'ona kwanini asipewe nafasi hii ni hujuma tu,baada ya zoezi hilo kuisha nlipata fulsa ya kumhoji mwenykiti wa mtaa ambaye anatokana na chadema niilimwuliza kwanini hakumpatia Heche nafasi kama kiongozi wake wa kitaifa ili aseme machache katika msiba huo?

Mh.Nyanswi akionekana mwenye kujiamini alijibu kuwa kwanza yeye hajahusika na kuandaa ratiba hiyo kwani kulikuwa na kamati maalumu ilyokuwa ikiratibu zoezi hilo na pili yeye hana mda wa kumzungumzia kiongoz asiyetambua majukumu yake kikatiba, kwani pia hakutambua uwepo wa kiongozi huyo mahara hapo kwa sababu hajashirikishwa kichama na mwisho alisema tabia ya kutumia msiba kama jukwaa la kisiasa kwake yeye halina maana kwani kuna mahara rasmi pa kutumia na sio msibani tu.

Baadhi ya watu wanasema huu ni mnyukano wa makundi makuu mawili hasimu kati ya Heche na Mh.waitara hivyo kuna kila dalili kuwa kama kati ya hao wawili mmoja atateuliwa kuwa mgombea ubunge 2015 basi ni wazi jimbo litabaki CCM kwani hakuna kundi litakarounga lingine ili lishinde japo kwa mh.Heche ni dalili mbaya kwani analaumiwa na kundi kubwa la vijana kuwa alihujumu jimbo mwaka 2010 hivyo na yeye akiteuliwa lazma na yeye ale jeuri yake,inabidi CHADEMA makao makuu wachukue tahadhari mapema ili kuhakikisha mahasimu hao wakubwa wanamaliza mgogoro huo vinginevyo ni vigumu sana kurejesha jimbo hilo.

Ukicheka na Kinana utavuna mizoga ya tembo.
 
hapa hakuna jipya chadema na misiba ni jambo la kawaida; wao ni watu wa kuteka hisia za watu; kwa mwangosi walikuwepo kule na picha nyingi tu tukawekewa tanzania daima; leo hakuna anayeuliza mjane na watoto wa mwangosi wamekula nini
chama
gongo la mboto dsm
..kwa kanumba jee..
 
Tatizo la Heche anapenda sana kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa.

Sasa hivi anazunguka Ulaya na CD ya kifo cha Mwangosi kwa ajili ya kukusanya pesa.

Cha kusikitisha familia ya Mwangosi hawapati chochote.

Kuna mwana siasa anayependa kutumia misiba, hasa ya wasanii hapa nchini zaidi ya muishiwa dhaifu ?
 
Haya majungu tu, mbona hakuna kilichoelezwa kuonesha alitafuta umaarufu? hata hivyo wa nn? Yule ni kiongozi wa kitaifa na ni maarufu zaidi ya uenyeviti wote wa vijana hapa nchini.Pia Heche amekuwa diwani Tarime mjini na ni mwanatarime, ni wajibu na haki yake ya msingi kushiriki shughuli za kijamii kama misiba mengine....! ACHENI MAJUNGU.
 
sasa hapo umaarufu aliotafuta uko wapi? mbona hujaonyesha sehemu hata moja alipotafuta umaarufu
 
Heche ni maarufu kabla ya msiba achene wivu wa kitoto munaacha kujadili jinsi mutakavyolipa deni nyie na watoto wenu na mimba zilizoko tumbuni la dola 11 bilioni ili kuwapa ujiko wachina huko bagamoyo tayari mumeshawapa makaa ya mawe bure yenye cobalt,platinum,nickel,shaba,silver na dhahabu ndani yake mpuuzi wewe mleta mada
 
baada ya kutokea mauwaji ya mtoto deus jacobo,aliyepigwa risasi na askari polisi katka mtaa wa songambere kata ya sababa tarime mjini siku ya alhamis tarehe 9.may.2013 majira ya saa nane mchana hatmaye siku ya mazishi ikawadia kama kawaida.

Ikawa ni siku ya jumamosi majira ya saa sita mchana mh.heche akafka maeneo hayo akiambatana na wapambe wake kutoka kata moja inayomuunga mkono ikiamini kuwa lazma awe mbunge 2015,mara ratiba ikaanza kusomwa na kuzingatiwa na m.c chini ya uratibu wa wanafamilia ya marehemu,alianza kupewa nafasi mchungaji ili kutoa neno mahala hapo,akafuatiwa na mwenyekiti wa mtaa aliyewashukuru wananchi pamoja na kusikitishwa kwa kuchafuliwa ya kwamba amehongwa na jeshi la polisi ili mwili uzikwe. Aliwaasa wananchi waachane na majungu kwani yeye wanamjua utendaji wake na sio hulka yake kupewa rushwa,aliyefuata alikuwa msemaji wa jeshi la polisi ambaye ni kamanda wa mkoa wa kipolisi tarime/rolya, yeye alisisitiza kuwa hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhuska wa mauwaji hayo,na kuwaomba wananchi watulie wawe wavumilvu na wamwamini,aliyefuata alikuwa ni dc alitoa salamu za serikali na rambirambi kwa wafiwa na kulaani kitendo hicho kwa niaba ya serikali.

Ikawa sasa ni nafasi ya diwani wa kata hiyo yeye pamoja na kusifia kazi za kamanda wa polisi kwa jitihada zake kuwarekebisha tabia mapolisi wasio waadirifu pia alitaka hatua zichukuliwe haraka na kusiwe na usiri kwa kumfikisha mtuhumiwa huyo mahakaman sheria ichukue mkondo wake,mwisho ukawadia wakati wa kuaga mwili wa marehemu huku mh.heche asijue nini la kufanya baada ya kukosa fulsa ya kutumia msiba huo kama jukwaa la kisiasa,huku wapambe wake wakionekana kukerwa na kitendo cha kumnyima nafasi boss wao huyo walianza konong'ona kwanini asipewe nafasi hii ni hujuma tu,baada ya zoezi hilo kuisha nlipata fulsa ya kumhoji mwenykiti wa mtaa ambaye anatokana na chadema niilimwuliza kwanini hakumpatia heche nafasi kama kiongozi wake wa kitaifa ili aseme machache katika msiba huo?

Mh.nyanswi akionekana mwenye kujiamini alijibu kuwa kwanza yeye hajahusika na kuandaa ratiba hiyo kwani kulikuwa na kamati maalumu ilyokuwa ikiratibu zoezi hilo na pili yeye hana mda wa kumzungumzia kiongoz asiyetambua majukumu yake kikatiba, kwani pia hakutambua uwepo wa kiongozi huyo mahara hapo kwa sababu hajashirikishwa kichama na mwisho alisema tabia ya kutumia msiba kama jukwaa la kisiasa kwake yeye halina maana kwani kuna mahara rasmi pa kutumia na sio msibani tu.

Baadhi ya watu wanasema huu ni mnyukano wa makundi makuu mawili hasimu kati ya heche na mh.waitara hivyo kuna kila dalili kuwa kama kati ya hao wawili mmoja atateuliwa kuwa mgombea ubunge 2015 basi ni wazi jimbo litabaki ccm kwani hakuna kundi litakarounga lingine ili lishinde japo kwa mh.heche ni dalili mbaya kwani analaumiwa na kundi kubwa la vijana kuwa alihujumu jimbo mwaka 2010 hivyo na yeye akiteuliwa lazma na yeye ale jeuri yake,inabidi chadema makao makuu wachukue tahadhari mapema ili kuhakikisha mahasimu hao wakubwa wanamaliza mgogoro huo vinginevyo ni vigumu sana kurejesha jimbo hilo.
watu bwana umetumia muda mwingi kueleza ujinga hapo acha siasa za namna hii tafta mbinu nyingine jamani kwani akitafta umaarufu tatizo liko wapi?
 
Mleta mada unaonekana una hofu na Heche. Maelezo yako ni kuwa Heche hakuongea kitu, labda ungetuambia Heche kuhudhuria msiba ni kutafuta umaarufu maana tumeishazoea kuona viongozi wetu wengi wanaenda misibanni kupiga picha na kuzijaza Michuzi Blog
 
Hapa hakuna jipya Chadema na misiba ni jambo la kawaida; wao ni watu wa kuteka hisia za watu; kwa Mwangosi walikuwepo kule na picha nyingi tu tukawekewa Tanzania Daima; leo hakuna anayeuliza mjane na watoto wa Mwangosi wamekula nini
Chama
Gongo la mboto DSM

Hebu na wewe tuambie Mke wa Kolimba yuko wapi na anakula nini leo hii....nyumba yake tu iko hivi

manda4.jpg
 
HECHE na waitara wote wapo makao makuu ya chadema, ni vizuri wakajadili kwa mapana juu ya majungu haya, yasije yakakigarimu chama!
 
Heche ni kiongozi maarufu Tanzania, sasa Tarime alikozaliwa na kukulia; na alikopata kuwa diwani atashindwaje kuwa maarufu hadi aanze kuutafuta huo umaarufu msibani?

Katika wenyeviti wa jumuiya na mabaraza ya vijana katika vyama vya siasa vilivyopo nchini kwa sasa hakuna mwenyekiti maarufu kama Heche.

Huyo mwenyekiti wa mtaa ametuhumiwa na wananchi wake kwamba alipokea rushwa toka polisi ili awashawishi wazazi wa marehemu wakubali kumzika mtoto wao baada ya kugoma kufanya hivyo awali. Sasa hayo mengine anayodaiwa kuyazungumza ni non issues kwa muktadha huu.
 
Baada ya kutokea mauwaji ya mtoto Deus Jacobo,aliyepigwa risasi na askari polisi katka mtaa wa Songambere kata ya Sababa Tarime Mjini siku ya Alhamis tarehe 9.May.2013 majira ya saa nane mchana hatmaye siku ya mazishi ikawadia kama kawaida.

Ikawa ni siku ya Jumamosi majira ya saa sita mchana mh.Heche akafka maeneo hayo akiambatana na wapambe wake kutoka kata moja inayomuunga mkono ikiamini kuwa lazma awe mbunge 2015,mara ratiba ikaanza kusomwa na kuzingatiwa na m.c chini ya uratibu wa wanafamilia ya marehemu,alianza kupewa nafasi mchungaji ili kutoa neno mahala hapo,akafuatiwa na mwenyekiti wa mtaa aliyewashukuru wananchi pamoja na kusikitishwa kwa kuchafuliwa ya kwamba amehongwa na jeshi la polisi ili mwili uzikwe. Aliwaasa wananchi waachane na majungu kwani yeye wanamjua utendaji wake na sio hulka yake kupewa rushwa,aliyefuata alikuwa msemaji wa jeshi la polisi ambaye ni kamanda wa mkoa wa kipolisi Tarime/Rolya, yeye alisisitiza kuwa hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya mhuska wa mauwaji hayo,na kuwaomba wananchi watulie wawe wavumilvu na wamwamini,aliyefuata alikuwa ni DC alitoa salamu za serikali na rambirambi kwa wafiwa na kulaani kitendo hicho kwa niaba ya serikali.

Ikawa sasa ni nafasi ya diwani wa kata hiyo yeye pamoja na kusifia kazi za kamanda wa polisi kwa jitihada zake kuwarekebisha tabia mapolisi wasio waadirifu pia alitaka hatua zichukuliwe haraka na kusiwe na usiri kwa kumfikisha mtuhumiwa huyo mahakaman sheria ichukue mkondo wake,mwisho ukawadia wakati wa kuaga mwili wa marehemu huku mh.Heche asijue nini la kufanya baada ya kukosa fulsa ya kutumia msiba huo kama jukwaa la kisiasa,huku wapambe wake wakionekana kukerwa na kitendo cha kumnyima nafasi boss wao huyo walianza konong'ona kwanini asipewe nafasi hii ni hujuma tu,baada ya zoezi hilo kuisha nlipata fulsa ya kumhoji mwenykiti wa mtaa ambaye anatokana na chadema niilimwuliza kwanini hakumpatia Heche nafasi kama kiongozi wake wa kitaifa ili aseme machache katika msiba huo?

Mh.Nyanswi akionekana mwenye kujiamini alijibu kuwa kwanza yeye hajahusika na kuandaa ratiba hiyo kwani kulikuwa na kamati maalumu ilyokuwa ikiratibu zoezi hilo na pili yeye hana mda wa kumzungumzia kiongoz asiyetambua majukumu yake kikatiba, kwani pia hakutambua uwepo wa kiongozi huyo mahara hapo kwa sababu hajashirikishwa kichama na mwisho alisema tabia ya kutumia msiba kama jukwaa la kisiasa kwake yeye halina maana kwani kuna mahara rasmi pa kutumia na sio msibani tu.

Baadhi ya watu wanasema huu ni mnyukano wa makundi makuu mawili hasimu kati ya Heche na Mh.waitara hivyo kuna kila dalili kuwa kama kati ya hao wawili mmoja atateuliwa kuwa mgombea ubunge 2015 basi ni wazi jimbo litabaki CCM kwani hakuna kundi litakarounga lingine ili lishinde japo kwa mh.Heche ni dalili mbaya kwani analaumiwa na kundi kubwa la vijana kuwa alihujumu jimbo mwaka 2010 hivyo na yeye akiteuliwa lazma na yeye ale jeuri yake,inabidi CHADEMA makao makuu wachukue tahadhari mapema ili kuhakikisha mahasimu hao wakubwa wanamaliza mgogoro huo vinginevyo ni vigumu sana kurejesha jimbo hilo.

Mura chuki haziendi hivo mimi we kubali unachuki binafsi na John heche yaani.umeiandika kimbea kabisa pole sana hutofanikiwa.
 
Inashangaza kuona mwenyekiti wa mtaa wa chadema kuwa karibu na mkuu wa wilaya kwa mapenzi ya ghafla tu, wewe mwenyekiti Khamis unaonekana ni gamba nashauri chadema wakuchunguze.
 
heche hana lolote,hajui siasa analazimisha siasa.Huwa anaongea kwa nguvu kama anataka kupaa,ovyo kabisa
 
KHAMIS NDUGU YETU angalia sana usiharibu UISLAM wako kwa tamaha za hapa na pale jina lako limechafuka sana kwa jambo hili usitumie nguvu kujilinda tubu kwa watu mapema nakuomba maana ni kweli yule mtoto kaangamizwa bila hatia ni kwa nini ulichagua upande wa wauaji na hata ukawasiliti wenzako waliokuwa na madai ya wazi? hapa umaarufu si hoja hoja ni mauaji ya mtoto asiyekuwa na hatia

Akili ziszo na mashiko nyie wote mnaomzushia mwenyekiti kuwa kahongwa toeni udhibitisho wa dhahiri amepokea vipi na mkuu wa wilaya amemlipia mkopo kwa ajiri ya nini?na je ni sheria katka nchi hii inasema ukiuwawa ukazikwa utakoswa haki zako?na haki hizo ni zipi?wameuwawa raia wanne arusha hawakuzikwa?mwangosi hakuzikwa?na je baada ya kuzikwa kesi za mauwaji zilifutwa?mi nafikiri uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kulko,badala ya kujipanga mwone mtatoka vipi na wegesa wenu mmebaki kutoa vimatusi vya kitoto kuwa mwenyekiti kahongwa,watu walishachoka na matamko ya heche,alishatoa matamko nyamongo kwamba atapambana hadi haki za waliouwawa mgodini zinapatkana hadi leo haijulikani alifkia wapi.
Kama heche angekuja kama mwanasheria wa chama akitaka kujuwa mazingira ya kifo yako vipi na muuwaji anastahiri adhabu ipi kwa mjibu wa sheria?hapo angenyimwa ushirikiano angepata hoja ya kusema,yeye heche mbona alipata tuhuma kuwa alikura fedha za michango ya shule ya nyamisangura akiwa diwani?jumla ya sh.13 milioni zilichangwa alizofikisha ni sh.milioni 4 tu yeye atasemaje kuhusu hilo?na kuna watu wanathibitisha hilo hadi leo.Leo kwa mfano mtu angeenda bank kuthibitisha kama kweli khamis amefutiwa mkopo?je nani aliona khamisi akipewa rushwa ya m.2.5?msifanye siasa za maji taaka na kama mlisoma basi hakuna haja ya kwenda chuo kikuu kwani kama una dgrii na huna uelewa ni bora na asiyekuwa na elimu na akawa mwelewa.
 
Heche ni kiongozi maarufu Tanzania, sasa Tarime alikozaliwa na kukulia; na alikopata kuwa diwani atashindwaje kuwa maarufu hadi aanze kuutafuta huo umaarufu msibani?

Katika wenyeviti wa jumuiya na mabaraza ya vijana katika vyama vya siasa vilivyopo nchini kwa sasa hakuna mwenyekiti maarufu kama Heche.

Huyo mwenyekiti wa mtaa ametuhumiwa na wananchi wake kwamba alipokea rushwa toka polisi ili awashawishi wazazi wa marehemu wakubali kumzika mtoto wao baada ya kugoma kufanya hivyo awali. Sasa hayo mengine anayodaiwa kuyazungumza ni non issues kwa muktadha huu.

Umaarufu unazidiana Waitara inaonekana wana Tarime wanamkubali sana Waitara; kama sio kutafuta sifa misibani kilimpeleka nini Tarime? Umaarufu wa Heche ni kule kuwa kibaraka; hebu tueleze ana umaarufu gani tusioujua sisi wengine? Mkuu unatafuta sana kukubalika pale mtaa wa Togo ndio maana unakesha kusifia matapishi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tatizo la Heche anapenda sana kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa.

Sasa hivi anazunguka Ulaya na CD ya kifo cha Mwangosi kwa ajili ya kukusanya pesa.

Cha kusikitisha familia ya Mwangosi hawapati chochote.

Hauna jipya..kila ukisikia kesi ya Mwangosi unarudia maneno hayo hayo.....ukweli lazima usemwe, chama cha majangiri kitaijua ICC mnafanya mchezo na roho za wananchi kwa kuwatuma polisiccm...soon mtajua CHADEMA haina utani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom