T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,930
- 990
Ukicheka na Kinana utavuna mizoga ya tembo.
silly comment
Ukicheka na Kinana utavuna mizoga ya tembo.
hahaa kumbe hukuwa mtu neutral kama ulivyojinasibu kwenye story awali! ni miongoni mwa wala rambi rambi too local sterm and visionless halafu huyu dogo heche anawasumbua sana magamba mpaka msaada mnapata kwa mamluki eehAkili ziszo na mashiko nyie wote mnaomzushia mwenyekiti kuwa kahongwa toeni udhibitisho wa dhahiri amepokea vipi na mkuu wa wilaya amemlipia mkopo kwa ajiri ya nini?na je ni sheria katka nchi hii inasema ukiuwawa ukazikwa utakoswa haki zako?na haki hizo ni zipi?wameuwawa raia wanne arusha hawakuzikwa?mwangosi hakuzikwa?na je baada ya kuzikwa kesi za mauwaji zilifutwa?mi nafikiri uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kulko,badala ya kujipanga mwone mtatoka vipi na wegesa wenu mmebaki kutoa vimatusi vya kitoto kuwa mwenyekiti kahongwa,watu walishachoka na matamko ya heche,alishatoa matamko nyamongo kwamba atapambana hadi haki za waliouwawa mgodini zinapatkana hadi leo haijulikani alifkia wapi.
Kama heche angekuja kama mwanasheria wa chama akitaka kujuwa mazingira ya kifo yako vipi na muuwaji anastahiri adhabu ipi kwa mjibu wa sheria?hapo angenyimwa ushirikiano angepata hoja ya kusema,yeye heche mbona alipata tuhuma kuwa alikura fedha za michango ya shule ya nyamisangura akiwa diwani?jumla ya sh.13 milioni zilichangwa alizofikisha ni sh.milioni 4 tu yeye atasemaje kuhusu hilo?na kuna watu wanathibitisha hilo hadi leo.Leo kwa mfano mtu angeenda bank kuthibitisha kama kweli khamis amefutiwa mkopo?je nani aliona khamisi akipewa rushwa ya m.2.5?msifanye siasa za maji taaka na kama mlisoma basi hakuna haja ya kwenda chuo kikuu kwani kama una dgrii na huna uelewa ni bora na asiyekuwa na elimu na akawa mwelewa.
Nyumba ya babu yako hiyo! asante sana kwa kutujuza
Chama
Gongo la mboto DSM
Heche ni kiongozi maarufu Tanzania, sasa Tarime alikozaliwa na kukulia; na alikopata kuwa diwani atashindwaje kuwa maarufu hadi aanze kuutafuta huo umaarufu msibani?
Katika wenyeviti wa jumuiya na mabaraza ya vijana katika vyama vya siasa vilivyopo nchini kwa sasa hakuna mwenyekiti maarufu kama Heche.
Huyo mwenyekiti wa mtaa ametuhumiwa na wananchi wake kwamba alipokea rushwa toka polisi ili awashawishi wazazi wa marehemu wakubali kumzika mtoto wao baada ya kugoma kufanya hivyo awali. Sasa hayo mengine anayodaiwa kuyazungumza ni non issues kwa muktadha huu.
Tatizo la Heche anapenda sana kutumia misiba kama mtaji wa kisiasa.
Sasa hivi anazunguka Ulaya na CD ya kifo cha Mwangosi kwa ajili ya kukusanya pesa.
Cha kusikitisha familia ya Mwangosi hawapati chochote.
CCM haina utaratibu wa kuwaruhusu viongozi wake kuteka pesa za Chama na kujijengea mahekalu utaratibu huo upo Chadema. Babu yako anamshukuru sana Mungu kwa kuwepo kwa CCM; sera ya makazi bora kwa watanzania ni moja ya sera kuu za CCMUsiukimbie ukweli hiyo ni Nyumba ya Marehemu Horace Kolimba aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM (1990-1994) na inadaiwa alifariki katika mazingira tata sana 1997 ndani ya CC yenu. Kama wengine mnawatunza vipi huyu?
Source: KAPINGAZ Blog WIKI HII ILITEMBELEA MAENEO YA KIJIJI CHA MANDA WILAYANI LUDEWA PEMBEZONI MWA ZIWA NYASA. | KAPINGAZ
FYI: Babu yangu pamoja na kuwa CCM ni mtu maskini sana na hawezi kumiliki nyumba kama hiyo!