chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan bado ana muda wa kuyaita makundi mbalimbali ya kisiasa mezani ili kufanya mabadiliko kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Heche amesema hayo akizungumza kupitia jukwaa la mtandaoni la Baraza la Kidijitali la chama hicho siku ya Jumatano Agosti 27, 2025.
"Tuna muda, na Rais Samia bado ana muda wa kuita watu mezani, wakazungumza na wakabadilisha hali hii ili tushindane kwa haki", ameeleza Heche.