Yes ni video ni bonafide genuine, ila wame overdo kwa sababu walijua wanarekodiwa!.
Ule ugonjwa wa watu kunyanyaswa kwa sababu hawajui haki zao!, kupanga kufanya game na mume wa mtu, sio kosa!, kosa ni kama wangefanya na kufumwa!, na kosa lenyewe sio la jinai bali ni madai!, kitendo alichofanyiwa hiyo mwanamke kunyolewa nywele ni shambulio la kudhuru mwili, hilo ni jinai, huyo dada angepata mwana sheria, huyo aliyemyoa, sio tuu ange ny.. debe, bali angekula mvua, na huku nyuma mumewe angejilia kwa raha zao!.
Mume analindwa kwa kutoshelezwa na sio kwa kutishia watu ikiwemo kuwanyoa!.
Pasco