Mkuu Tamalisa nakubaliana na ww kabisa ktk dhana hiyo. Lkn ili hilo jambo lilete maana inabidi awe bikra sifa ambayo siamini km anayo. Hapo ndo kwenye tatizo,kwamba huenda anambania dogo lkn kuna wengine wanapiga bila shida.
Mkuu mjukuum hili ni jukwaa huru na tunatumia id fake. Sina sababu ya kusingizia mtu km mm ndo ningekuwa mhusika ningesema bila hata woga. Labda kwa kukuondoa hofu,me nimeoa tangu mwaka 1998.mwezi may. Mtoto wangu wa kwanza yupo kidato cha 3. Nadhani mpaka hapo umeelewa km me ni kijana wa zamani kidogo.Mbona ni ww mwenyewe unaomba ushauri unacngizia kijanaaa cjui
Mkuu mjukuum hili ni jukwaa huru na tunatumia id fake. Sina sababu ya kusingizia mtu km mm ndo ningekuwa mhusika ningesema bila hata woga. Labda kwa kukuondoa hofu,me nimeoa tangu mwaka 1998.mwezi may. Mtoto wangu wa kwanza yupo kidato cha 3. Nadhani mpaka hapo umeelewa km me ni kijana wa zamani kidogo.
Mkuu mwita ke mwita hivi kipi bora hapo,usumbufu wa kuombwa hela kila mara na kumpa hiyo ili apange matumizi yake ya mwezi mzima!??jamaa yuko sawa ila kumlipa mshahara anakosea
Ha haa wala usijali ni Me.
kijana anavutwa masikio tu, hana chake hapo... keshageuzwa spea na yeyeWana MMU salaam,
Huyu kijana ni mjasiriamali wa siku nyingi. Ni kijana fighters sana kwenye maisha, amejijenga vizuri sana, kwa maana ya kuwa na mahali pa kuishi na kausafiri lakini hajaoa.! Ana mchumbaake ambae anaonyesha kampenda sana, kwa maelezo yake anadai hadi sasa wana kama miezi mitatu wakiwa kwenye uchumba.
Kijana analalamika kuwa, kipindi chote hicho cha miezi 3, hajapewa lile tunda la katikati! Kilichomstua kwa maelezo yake, binti anadai hawezi kumvulia nguo kwa muda huu mfupi sana walionao kwenye uchumba. Tatizo lipo kwenye huduma, kijana anadai anamhudumia binti kila kitu, pamoja na kumjali kwa kila kitu, lakini ili kumfanya awe salama zaidi, ameamua kuwa anampa mshahara wa laki mbili na nusu kila ikifika tar. 25 ya kila mwezi.
Binti anafanyakazi katika Duka moja la kuuza vipodozi hapa. Ndo amekuja kuniomba ushauri kama amvumilie au aachane nae kuepuka hizo gharama? Mimi nimemshauri kifupi sana, amwambie na yeye anasitisha huduma mpaka hapo watakapomaliza kuchunguzana na kukubaliana. Hakuna haki bila wajibu hapa Duniani. Lakini namuona kijana kama anaogopa kuchukua ushauri wangu.
Hebu nisaidieni cha kumshauri! Najua hapa hakiharibiki kitu
Nawasilisha
Mwambie huyo mvulana aache zinaa, huyo msichana yupo sahihi.
kukutana kimwili inaruhusiwa baada ya ndoa.