Huyo jamaa na yeye amefanya haraka, kuhonga hela zote hizo, Pengine akiombwa na wazazi hela anasema hana ,apunguze gharama za kuhudumia maisha yenyewe magumu, kuhusu huyo mdada, maybe huyo dada hajampenda kiivyo,asije akasubiri yeye, mlaji akawa mwengine[/QUOT
mwambie aufanyie kazi ushauri,ataliwa hela hadi apauke au achakae kama jero[sh.500 ya noti]
Huyu dogo anataka kuoa,na yupo serious sana. Kufanya hayo yote ni kutokana na fikra kwamba anatimiza wajibu wake kwa mpnz wake,kitu ambacho hata mm sioni km ni tatizo. Tatizo huyu mdada hata me sijaelewa anakusudia nn,maana km anahudumiwa kila kitu,wajibu wake yeye kabla hawajaoana ni kutoa hiyo kitu. Lkn hataki kwa kisingizio cha bado mapema huku hela anapokea.
Hicho ndicho kitu ambacho sikifikiriagi katika maisha yangu, siwezi kumhonga mtu hela zote izo subili atakuja kumwambia nilikuwa napenda kiusafir chako sasa hiv kamechoka!!! ,labda kazidisha kutumia hela isizidi elf 5 kwangu
Labda utusaidie mkuu,nadhani nimeeleza jinsi uhusiano wao ulivyo. Dogo wajibu wake ni huo anautimiza kwa kumhudumia mpnz wake. Hebu niambie yeye binti anawajibu gani kwa mpnz wake?? Halafu laki 2.5 anazopewa ni matumizi yake ya mwezi mzma,dogo amefanya vile kupunguza usumbufu wa kuombwa pesa kila wakati. Binafsi sioni km hizo ni hela nyingi wakati kuna watu wanahonga zaidi ya hizo kwa siku moja.Mkuu, hivi huo ndio wajibu??? we mwambie tu rafiki yako aache kumpa hela nyingi awe anampa pale inapobidi kwa vitu vya muhimu, pia mwambie kama huyo atakuja kuwa mkewe basi hiyo tabia ya kumpa hela sio nzuri, anazoea hela na endapo atazikosa huko baadae ktk ndoa atalazimika kuzitafuta kwa namna yoyote ile ili ajipendezeshe. Kitu cha msingi avumilie tu na huku akiendelea kumchunguza, akiacha kutoa hela hovyo ndio atajua kama huyo ni mkewe au sio.
Mkuu Tufu hapo kwenye blue hebu nisaidie. Kumsaidia mchumba wake kwa kumpa laki 2.5 kwa mwezi,tafsiri yake ndo hiyo??Katika hatua ya kwanza alichokosea kijana ni kuanza kuhonga fedha. Kamchanganya msichana wa watu. Kijana anaweza kuwa kapenda kweli lakini msichana hajampenda ila anashawishika na fedha. Msichana anaweza pia kuwa na kijana mwingine anashindwa kuamua na kusema ukweli kwa sababu ya fedha. Kijana sasa hatajua kama msichana anampenda kwa dhati au la! Next step ni kuwakutanisha pamoja na wewe mzee waseme waziwazi kama wanapendana waanze taratibu za kupimana afya, kwenda kwa wazazi na kuoana. Kama binti atagoma tena, aachane naye, atafute msichana mwingine afanye taratibu za kuoa ,sio kuanza kuomba ngono kwanza. Kwanza ndoa ndio afikirie habari ya kuomba unyumba na kutengeneza watoto.
Labda utusaidie mkuu,nadhani nimeeleza jinsi uhusiano wao ulivyo. Dogo wajibu wake ni huo anautimiza kwa kumhudumia mpnz wake. Hebu niambie yeye binti anawajibu gani kwa mpnz wake?? Halafu laki 2.5 anazopewa ni matumizi yake ya mwezi mzma,dogo amefanya vile kupunguza usumbufu wa kuombwa pesa kila wakati. Binafsi sioni km hizo ni hela nyingi wakati kuna watu wanahonga zaidi ya hizo kwa siku moja.
Mkuu Tamalisa nakubaliana na ww kabisa ktk dhana hiyo. Lkn ili hilo jambo lilete maana inabidi awe bikra sifa ambayo siamini km anayo. Hapo ndo kwenye tatizo,kwamba huenda anambania dogo lkn kuna wengine wanapiga bila shida.Mkuu kuvua nguo sio wajibu wao!! kama amekusudia kuoa, mwambie avumilie na amchunguze huyo binti kama kweli hawavulii nguo wengine, na pia amchunguze tabia zingine. Dhana ya kusema eti utaoa mtu ambaye hajui mambo ya kitandani hiyo dhana ni potofu. Ukute rafiki yako na wewe mnaangalia mapenzi tu na wala hamjatulia kumchunguza, hilo ni tatizo. Nionavyo mimi.
Miezi mitatu ya uchumba ama toka kukutana? kama nu toka kukutana basi Anaweza kuwa analiwa pesa yake tu.