Hebu tulizungumzie goli la Konde Boy vs JKT Tanzania

Ushabiki sio kujitoa ufahamu mm nasema Tena ni Yanga kwelikweli ata Kama nipo mikoani Ila huyu mtoto na Chama hapa Tanzania hakuna wakuwafikia piga uwa. Jingine dogo nikama Gaucho Yani ata umchezee lafu yaye wakati wote nitabasamu tu. Tuache utani Chama na huyu mmakonde ni shida tupu.
 
kwa siku chache zilizobakia, yanga watafute tu mwanasaikolojia ..
Tunaandaa makwanja, ni kufyekelea mbali miguu yote! Hakuna namna, bora lawama kuliko fedheha! Kwahiyo jiandaeni, tumejipanga kwa red cards kama nne hivi kwa wafuatao;
1. Lamine Moro kwa kufyeka Morisom, mtamkuta Moi!!!!
2. Ninja atamfyekelea mbali Miqson wenu huyo, mtamkuta Mwaisela!!!!!
3. Adeyum, atamfyekele mbali Chama, huyo ataishia Temeke, haendi mbali.
4. Sapong atamkanyagia mbali Kipa wenu Manula, mtamkuta Amana.
Nakwambia vita ni vita mura!!!!!.
Sisi tunagechaa tu
 
dk 90 zitaongea, huo nimewapa tu kama ushauri wana utopolo maana sio kwa moto huu
 
Kila napokatiza mjini kila mtu anazungumzia hilo bao na jinsi simba wanavyotandaza soka nasikia hadi makocha wanaowafata wanawaambia wapo tayari kujiunga baada ya mechi na Simba wameshachungulia wataharibiwa cv zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom