EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
- Thread starter
- #121
kulaNa hakuna match zilinipa raha Kama
Simba vs Yanga, Yanga anakufa 2-1 Simba akitokea nyuma, Mavugo na Kichuya wakifanya yao
Simba vs Yanga mwaka Jana Azam Confederation cup nusu fainali, Yanga anakufa 4-1
Simba vs Fc platnum, 4-0.
Daahhh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app