Hebu tukumbushane machungu ya timu zetu siku tulipojutia kwenda uwanjani au Vibanda Umiza

1988
Yanga ilihitaji sare itawazwe bingwa. Yangu akishinda Simba anateremka daraja.
Laahaula walakuwwata.
Sahau Kambi si achomoe betri bwana. Mwisho wa gemu SIMBA 2 YANGA 1. Ubingwa huooo kwa Coastal Union ya Tanga. Wiki mzima roho inaniuma, ukizingatia nienda usanjani na matokeo yangu mfukoni safari ya kurudi KIBAHA ilikuwa nzito mno.
 
mkuu unaonekana umri umeenda kidogo
 
Penati ya Said Bahanuzi kule egypty,angeshinda tu.....wananchi tungesonga mbele maana wao tayari walikuwa wamekosa moja.Tangu pale Bahanuzi alipotea kabisa ktk ramani ya soccer Tz
 
Usiku wa may 17 kule da Lois II,Arsenal 1 vs 2 Barcelona 2006,

Huenda ulikua usiku mbovu Sana kwangu kuwahi kutokeaa,

Wanaume walipambana Sana ila tulilala na viatu,wiki nzima nilikua najiuliza kwanini Yule refa Massimo busacca kutoka 'uswizi' asingemuacha Jens lehman 'mikono mia' aendelee na mechi!!,kwnini aliamua kutuharibia ile mechi!!,

Dah!!! You can't imagine Yale machungu Hadi leo ninayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwaka nimeusahau mtanikumbusha. Yanga alikuwa anaongoza ligi kwa point 2 zaidi ya simba, mtibwa (kama sijakosea) alikuwa nafasi ya pili kamzidi simba point 1, simba akiwa anashika nafasi ya tatu na kila mtu amebakiwa na mechi moja zote zinachezwa siku moja. Ubingwa ulikuwa kati ya yanga au mtibwa simba hakuwa kwenye hesabu za ubingwa. Siku hiyo RTD hawakutangaza mechi yoyote kwa hiyo kila mtu alikuwa anasubiri saa mbili kasorobo asikie yanga au mtibwa atangazwe bingwa. Mbili kasoro mtangazaji anaanza kwa kusema SIMBA BINGWAAA.
 
Minjino a.k.a RONALDINHO na ETO'O walifanya nianze kuipenda BARCELONA 2006 UCL final walipompiga ARSENAL 2-1
 
Anapoteza maisha Marc Vivien foe akiwa amevaa jezi ya taifa lake akipambana uwanjani nikiwa mshabiki wake mkuu maumivu niliyopata huwa nayafeel hadi leo

Hiyo mechi Cameroon walishinda lkn.. nilimwaga machozi balaa

RIP Marc Vivien foe
 
pole sana
 
1988
Yanga ilihitaji sare itawazwe bingwa. Yangu akishinda Simba anateremka daraja.
Laahaula walakuwwata.
Sahau Kambi si achomoe betri bwana. Mwisho wa gemu SIMBA 2 YANGA 1. Ubingwa huooo kwa Coastal Union ya Tanga. Wiki mzima roho inaniuma, ukizingatia nienda usanjani na matokeo yangu mfukoni safari ya kurudi KIBAHA ilikuwa nzito mno.
pole sana mhenga huo ndio mpira don't celebrate until the last whistle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku wa may 17 kule da Lois II,Arsenal 1 vs 2 Barcelona 2006,

Huenda ulikua usiku mbovu Sana kwangu kuwahi kutokeaa,

Wanaume walipambana Sana ila tulilala na viatu,wiki nzima nilikua najiuliza kwanini Yule refa Massimo busacca kutoka 'uswizi' asingemuacha Jens lehman 'mikono mia' aendelee na mechi!!,kwnini aliamua kutuharibia ile mechi!!,

Dah!!! You can't imagine Yale machungu Hadi leo ninayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hakuna match zilinipa raha Kama

Simba vs Yanga, Yanga anakufa 2-1 Simba akitokea nyuma, Mavugo na Kichuya wakifanya yao

Simba vs Yanga mwaka Jana Azam Confederation cup nusu fainali, Yanga anakufa 4-1

Simba vs Fc platnum, 4-0.

Daahhh!!!
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom