teh teh teh! Duh, ndo iko wapi hiyo?

Michango ilikuwa inapitishwa kama mwezi mmoja hivi kabla ya siku yenyewe ya tukio, siku hiyo ikifika watoto waliochngiwa wanajumuika

T.T.I-Club Kidatu huko, tunakula pilau letu then tunashushia na Pepsi ya Enzi zile au koka Kola ambazo zilikuwa ni shilingi 20, baada ya hapo mashindano ya kucheza Disko.. Hapo ni watu kuvunja viungo mwanangu, ni mabreka kwa kwenda mbele. mshindi akipatikana anapewa shilingi 200 na creti la pepsi! Jioni ni disko la wakubwa ole wako sasa uende afu ukutane na mwalimu Chacha kesho kiama kitakushikia shuleni na utajuta kwenda disko la wakubwa!!!

Dah kweli we umezaliwa zamani sana, kumbe kuna vijeba wengi sana humu
vijeba gani?daraja la manzese limejengwa mwaka 1993 au 94,ina maana ulikuwa haujazaliwa huo mwaka?si useme ukweli tu kuwa ulikuwa kwenu huko nyanchencheDah kweli we umezaliwa zamani sana, kumbe kuna vijeba wengi sana humu

Wa kule moshi kulikuwa kuna mhindi anaiza bagia,chauro,tambi weee boda hata uibe hela home kuliko kukosa kwenda kwa "jani" alikusanya hela yule duuuh

inimegonga mawani yana kimdori, nimevaa shati la mchele mchele na suruali ya dukani imeandikwa canada chini nimepiga chchacha nimenyoa kisaani utanitaka nina shilingi 20 ya noti ya mtumizi acha mchezo usinikumbushe
Dah kweli we umezaliwa zamani sana, kumbe kuna vijeba wengi sana humu