Kwanini kila nikisikiliza Nyimbo za Bendi ya Wenge Musica BCBG ( zamani 4 X 4 ) sichoki na siboreki kama za Bendi za Koffi na Werason?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,874
Hivi Mwenyezi Mungu aliwabariki na nini hawa Wanamuziki wote wa iliyokuwa inaunda Kundi zima la Bendi ya Wenge Musica BCBG ( zamani 4X4 ) kiasi kwamba huchoki Kusikiliza Nyimbo zao kutokana na Utamu wa mapigo na mipangilio ya Kimuziki tofauti na Bendi za akina Koffi ya Quarter Latin na ya Werason ya Maison Mere?

Hivi nikiita hii Bendi ya Wenge Musica BCBG ( zamani 4X4 ) kwamba ni ya kutoka Mbinguni kwa Baba nitakuwa nakosea? Hebu nakuomba hapo ulipo tafuta Album yao yoyote usikilize kisha uweze kuelewa ninachomaanisha hapa. Jamaa wanajua hadi wanakera na ndiyo maana hadi leo hii Bendi ya Wenge BCBG iliyo chini yake Kiongozi ' Charismatic ' kabisa JB Mpiana inafana vyema mno kwani imesheheni Vipaji tupu.

Usipoipenda Bendi hii laizma tu utakuwa na walakini katika mfumo wako mzima wa akili / kufikiri.

Nawasilisha.
 
Hapa umenifurahisha sana kama siyo mno Mkuu kwani hiyo Pichani ndiyo ilikuwa Wenge Musica 4X4 yenyewe kabisa na hapo Kuanzia mkono wa Kushoto ni Aimelia Byakodile ( sasa yupo Bendi ya Wenge Maison Mere ya Werason ), anayefuatia ndiyo Ngiama Makanda au Werason mwenyewe Mwanamuziki anayemiliki Mkanda Mweusi wa Kung Fu ( sasa ndiye Kiongozi wa Bendi yake ya Wenge Musica Maison Mere ), anayemfuatia anaitwa Alai Mpela Afande ambaye kila Bendi ilipokuwa ikienda Kutumbuiza / Kupiga iwe ni hapa Afrika au Ulaya basi Wanawake wengi walikuwa wakimpenda na kumtakia wazi wazi kuwa wanamtaka kutokana na mwonekano wake mzuri wa Sura ( sasa anaimba tu Solo baada ya Kuachana na Bendi ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na kuna Kipindi Yeye na Mdogo wake Bouro Mpela Gecco waliunda Bendi yao ila ikawashinda na Mdogo wake huyo ambaye ni mahiri / fundi wa Kucheza na Kutunga mitindo mingi ya Kucheza amerudi Bendi ya Quarter Latin yake Koffi Olomide ) na huyo mwa mwisho anaitwa Adolphe Dominguez ambaye alikuwa pia ni Kipenzi cha Mashabiki Ukumbini hasa kutokana na kuwa na Umbile Kubwa na Mzito lakini alikuwa anaweza Kucheza, Mnyumbulifu huku akiwa haishiwi Vituko ( sasa ana Bendi yake ya Wenge Musica Tonya Tonya ) huo Wimbo hapo juu ya Pentagone na hiyo Album nzima ilitikisa siyo tu Congo nzima bali hadi duniani kote hasa hasa nyimbo tamu kama za No Comment Shengen, Djojo Ngonda, Etepe Buengo na Filandu.

GENTAMYCINE huwa sipendi vitu vibovu vibovu kamwe.
 
Hivi Mwenyezi Mungu aliwabariki na nini hawa Wanamuziki wote wa iliyokuwa inaunda Kundi zima la Bendi ya Wenge Musica BCBG ( zamani 4X4 ) kiasi kwamba huchoki Kusikiliza Nyimbo zao kutokana na Utamu wa mapigo na mipangilio ya Kimuziki tofauti na Bendi za akina Koffi ya Quarter Latin na ya Werason ya Maison Mere?

Hivi nikiita hii Bendi ya Wenge Musica BCBG ( zamani 4X4 ) kwamba ni ya kutoka Mbinguni kwa Baba nitakuwa nakosea? Hebu nakuomba hapo ulipo tafuta Album yao yoyote usikilize kisha uweze kuelewa ninachomaanisha hapa. Jamaa wanajua hadi wanakera na ndiyo maana hadi leo hii Bendi ya Wenge BCBG iliyo chini yake Kiongozi ' Charismatic ' kabisa JB Mpiana inafana vyema mno kwani imesheheni Vipaji tupu.

Usipoipenda Bendi hii laizma tu utakuwa na walakini katika mfumo wako mzima wa akili / kufikiri.

Nawasilisha.
Acha kabisa best
 
Mimi nikiisikiliza Reasonable Doub

Album zangu kali ni:-
Them Chronic sijui ya nani
Im Ready 2 Die sijui aliye imba
Dogg Style
Muddy Waters
Mawazo ya Jay Mo
 
Mimi nikiisikiliza Reasonable Doub
Album zangu kali ni:-
Them Chronic sijui ya nani
Im Ready 2 Die sijui aliye imba
Dogg Style
Muddy Waters
Mawazo ya Jay Mo

Unaweza ukanielekeza ulipoinunua Bange / Bangi unayoitumia sasa Mkuu ili nami nikaununue?
 
Back
Top Bottom