Hebu tujuzane benki zinazotoa rates nzuri iwapo uta-fix hela kwenye account

Hahah huko kwny bonds naona hua tumewaachia Wafanyabiashara wa kihindi na wabongo flani wachache wenye exposure ya hapa na pale ila wengine waliobaki hua hawana habari na hizo mambo kabisa.
Wabongo tunapenda quick money, bila kuwaudhi watu, tunapenda mambo ya good morning :D :D Q-net, Kijani Kibichi, Mr Kuku, Forever Living, tuma kwenye namba hii n.k.

Wahindi na wachache sana wanajinufaisha huko kimya, hutosikia mtu anaitwa huko kwenye hizo fursa za ukweli.

Everyday is Saturday..............................:cool:
 
Wabongo tunapenda quick money, bila kuwaudhi watu, tunapenda mambo ya good morning :D :D Q-net, Kijani Kibichi, Mr Kuku, Forever Living, tuma kwenye namba hii n.k.

Wahindi na wachache sana wanajinufaisha huko kimya, hutosikia mtu anaitwa huko kwenye hizo fursa za ukweli.

Everyday is Saturday................................:cool:
'Wahindi na wachache sana wanajinufaisha huko kimya, hutosikia mtu anaitwa huko kwenye hizo fursa za ukweli.'

Hahah hapo umepiga kwenyewe mzee baba,ngoja sisi tusubiri Mr. Kuku nyingine ianzishwe tukapambanie kombe mkuu.
 
Naona hilo tangazo:

1.liko dated november 2018 kwa hio sijui kama liko valid mpk sasa.

2.Tangazo linasema "Sasa tunakupa fixed deposit rate maalum yenye riba ya mpk 9.5% kwa amana ya a/c yako itakayodumu kwa miaka 2'.

-Sasa hapa Key words ni 'MIAKA 2.'

Maana yake ni Kwamba kupata Interest/per anuum:

9.5%÷2yrs=4.75%/annum

Kwa hio mzee baba kwa tangazo lao hilo interest yao kwa mwaka ni 4.75% kwa mwaka.

Wametumia lugha ya kibiashara tu hapo.
View attachment 1639689
Hapo maneno la kuzingatia ni 'rate yenye riba mpaka 9.5%' yaani uki tafsiri kwa Kiingereza ndio unapata picha nzuri zaidi, 'interest rate up to 9.5%', ikimaanisha hiyo 9.5% ndio maximum rate na sio kuwa kila anayepeleka fedha watalipwa kwa rate hiyo, unaweza ukaenda na milioni 3 zako ukapewa rate ya 3% ukashangaa kumbe hujaelewa tangazo Extrovert
 
Dah akili kumkichwa.
Kumbe matangazo yao wanayatengeneza kihuni kama yale ya tigo ya jaza ujazwe
Hapo maneno la kuzingatia ni 'rate yenye riba mpaka 9.5%' yaani uki tafsiri kwa Kiingereza ndio unapata picha nzuri zaidi, 'interest rate up to 9.5%', ikimaanisha hiyo 9.5% ndio maximum rate na sio kuwa kila anayepeleka fedha watalipwa kwa rate hiyo, unaweza ukaenda na milioni 3 zako ukapewa rate ya 3% ukashangaa kumbe hujaelewa tangazo Extrovert
 
Nenda ka fix tumilioni twako jamuhuri ikwapue utasikia tu text ya muala aka bank alert ,

"hongera umefanikiwa kukatwa milion tano za ujenzi wa reli "

Apo ndio utajua kwanini kuku ni jamii ya ndege na samaki sio jamii ya meli
 
Cha msingi ujue hizo riba hazipishani sana kati ya ma-bank na uwe na mpunga wa kutosha.

Mfano:

Bank ya DTB ukiwa na chini ya Tsh. 100mil interest kwa mwaka ni 5.75%,

Tsh.100mil-500mil interest ni 6%

Tsh.500mil-1000mil interest ni 6%

Fanya Hesabu rahisi tu:Umeweka mpunga wako kwny bank hio kwa hio miezi 3,umeweka labda Tsh. 10mil ,then:

10mil×3/12×5.75%=Tsh.143,750

Then toa 10% withholding tax ya serikali hapo:

143,750-(143,750×10%)=Tsh.129,375

Is it worth? Sijui

Najua sijajibu swali lako la msingi khs bank gani ina riba kubwa lkn on average sidhani kama itazidi 7% p/annum,Sina uhakika lkn.
BOA bank ukiweka mpunga wa 100m riba 8% inakubalika
 
Hapo maneno la kuzingatia ni 'rate yenye riba mpaka 9.5%' yaani uki tafsiri kwa Kiingereza ndio unapata picha nzuri zaidi, 'interest rate up to 9.5%', ikimaanisha hiyo 9.5% ndio maximum rate na sio kuwa kila anayepeleka fedha watalipwa kwa rate hiyo, unaweza ukaenda na milioni 3 zako ukapewa rate ya 3% ukashangaa kumbe hujaelewa tangazo Extrovert
Ni ukweli mtupu. Mara nyingi fixed dep. rate inategemea amount unayoweka na pia muda. Hilo tangazo ni la kuvutia watu tu.
 
'Wahindi na wachache sana wanajinufaisha huko kimya, hutosikia mtu anaitwa huko kwenye hizo fursa za ukweli.'

Hahah hapo umepiga kwenyewe mzee baba,ngoja sisi tusubiri Mr. Kuku nyingine ianzishwe tukapambanie kombe mkuu.
Hivi kunakuwaga na tax unayolipa serikalini wakati wa kuchukuwa ''faida'' yako?
 
Hayo mambo ya sijui withholding tax waliyosema unayajua vizuri? I mean ukweka fixed kwa eg mwaka faida utakayolipwa inakatwa tax au unachukkuwa mpunga wote?
Kwani swali linauliza kuhusu withholding tax?

Lazima ujue kua hiyo tax ni muhimu.
 
Kuweka hela fixed ni hasara labda uwe mstafu ambapo uwezo wako wa kuzalisha umefika kikomo,Mara 100 ununue government bond.
 
Hapo maneno la kuzingatia ni 'rate yenye riba mpaka 9.5%' yaani uki tafsiri kwa Kiingereza ndio unapata picha nzuri zaidi, 'interest rate up to 9.5%', ikimaanisha hiyo 9.5% ndio maximum rate na sio kuwa kila anayepeleka fedha watalipwa kwa rate hiyo, unaweza ukaenda na milioni 3 zako ukapewa rate ya 3% ukashangaa kumbe hujaelewa tangazo Extrovert
Kabisa mkuu, lugha iliyotumika hapo ni ya kisanii sana.
 
Back
Top Bottom