Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,956
- 7,209
Uchumi wa kati wa chini ni kwikwi na kiungulia!Sasa hivi ukiweka deposite yako nzuri jiandae na kuitwa polisi kujibu "Kwa nini una hela nyingi kwenye huu uchumi wa kati" ukijifanya mjuaji jiandae na vitisho "Chagua moja kuendelea kufuatilia hela zako ama upate kesi ya uhujumu uchumi" Bank za bongo zinapitia wakati mgumu sana
Everyday is Saturday................................😎