Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,341
- 144,831
Kati ya wanawake na wanaume ni kundi lipi linaloongoza kwa usaliti katika mahusiano ya kimapenzi???
I think it's neck and neck.
Kati ya wanawake na wanaume ni kundi lipi linaloongoza kwa usaliti katika mahusiano ya kimapenzi???
Ha ha ha hiyo ndo habari ya mujini usije kugeuza maeneo ya watu kujidai clinic ya chanjo za pepopunda
Kati ya wanawake na wanaume ni kundi lipi linaloongoza kwa usaliti katika mahusiano ya kimapenzi???
Hivi jana ilikuwa lini vilee
Hivi jana ilikuwa lini vilee
alkhamisi.....
Kwani wanafumua marinda wao kwa wao?wanaume kwa kuwa kipindi tupo na mimba hatuchepuki wakati ninyi mpo bussy... na hata tulkiwa na watoto tunalea huwa hatuchepuki..... nyie mda wote
Kwani wanafumua marinda wao kwa wao?
taki taki hayo mawazo.ndiyo wakati mwingine... ila wanachukua watoto
taki taki hayo mawazo.
Kwani wanafumua marinda wao kwa wao?
Kama nyie ngoma droooooookwa hiyo mkiwa hamna ujauzito mnasaliti???