Hebu tujadili mjadala huu bila kuegemea upande wako

Hebu tujadili mjadala huu bila kuegemea upande wako

wanaume kwa kuwa kipindi tupo na mimba hatuchepuki wakati ninyi mpo bussy... na hata tulkiwa na watoto tunalea huwa hatuchepuki..... nyie mda wote

yaani asilimia 65 ya Wanaume uchepuka toka mimba ikiwa na 0-2yrs.wachache sana wanaovumilia
 
Kuku na yai hapo..... na nyani always haoni makalio yake ila anaona ya mwenzie....
ME anaona KE ndo wanaongoza kwa kusaliti (wake za watu kuliwa na kufumwa)
KE anaona ME ndo wanaongoza coz hawakai njia kuu (michepuko)...
logically sipati jibu ila anayeongea sana kati ya ME na KE ndo atashinda hapo......

report ya mkemia mkuu wa serikali mwaka 2013/14 na 2016/17 inaonesha almost 50% ya watoto walioenda kupima DNA sio watoto wa ndoa
 
Back
Top Bottom