nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,254
mapenzi ndani ya ndoa/mahusiano ni more than this weye.....lasting love is a two way thing...and not one way thing as you hypothesize.....kama theory yako ni ya kweli basi wale malaya wanaojiuza wooote wangekuwa na mabwana ma maisha....maana kazi yao ni kuwapa pleasure wanaume......au wanawake wa kimakua, kimakonde na kizaramo wangekuwa wanagombaniwa na wanaume kwasababu ya umaarufu wao wa kukata viuno na kucheza nyago kitandani kwa ujumla......go back and think.....don't bitch around here......Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......
Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......
Mwenye masikio na asikie......
...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!,ni kazi tu na always the ugliest wins......
Mwenye masikio na asikie......
Preta, Erotica Smile hope mko poa. thanks erotica kwa kunitag manake huu uzi nyeti niliukosa. anyway mimi mfundaji wenu ngoja niwaambie haya machache tu. Wapendwa wangu what men want out of women is just joto na utelezi basi. mambo mengine yote, uzuri, fedha, kujiremba nk ni mambo ya kusindikiza tu ila ukweli ni kwamba la muhimu ni hayo mawili tu. Mambo haya kama wewe mwanamke huna huwez kumsisimua mwanaume hata kidogo kwani kama huna joto, mwili ni baridi, huna utelezi wewe kwke ni mateso tu na wala huna raha yyte.
kimsingi kabisa mautundu ya kitandani ndiyo yanayoleta haya na utundu huu hutokana zaid na hisia ulizo nazo juu ya huyu patna. Kama huna hisia ambazo zitakufanya ukubali kutoka moyoni kumpa raha huyo patna. yaani wewe hutakuwa mtam na hutamvutia huyo mtu kuendelea na wewe.
hisia unazokuwa nazo juu ya mtu, huamsha hamu ya kupenda kumpa raha muhusika na kukubali kutumika kutoa raha. ukisha kubali mwili wako kutumika kutoa raha definetly utatengeneza joto kw msukumo wa damu utaongezeka zaid na ubongo wako utapeleka taarifa kwenye respective glands ambazo zitatoa secretions ambazo huleta utelezi.
jamani kamwe huwez kuwa mtundu kama hutamani kutoa raha kwa huyo mwenza wako. ukikubali kutoa raha basi na wewe lazima utapata raha tu na utaonekana unajua kumbe ni ukubali wako tu. wapo wadada wengi wanaobakwa kwasababu ya fedha zao au sura na hata kufiki kuolewa halaf waume zao wanakuwa wanatafuta haya mtaani. Jamani kubalini kutumika kutoa raha, tena jachieni hasa. mwwenye kuhitaj mbinu zaid ani pm manake hpa nawafaidisha hadi hao akina kaka kama MziziMkavu, Asprin etc. see you
[FONT=comic sans
ms]Preta,
naomba nitoke nje ya mada kidogo, linapokuja swala la kitandani si tu
wanawake wanatakiwa kuwa watundu, hata wanaume pia.......
Eiyer alichokoza kuhusu kiuno...... umeona
wanaume wanadhani kiuno ni mwanamke tu ndo anatakiwa kukizungusha hapa
point ni kuwa ili kushika na kulinda penzi kitandani pia kubnahitajika
ubunifu na utundu........
tukienda kwenye tabia za nje sasa.....
wanawake wa siku hizi wanajua kubandika kopi tu....yes kama ulivyosema
kujiweka/ona classic, hawafahamu sura si chochote, mavazi si lolote
kulinganisha na ujuzi wa kitandani....
sasa tufanyaje? tupeleke vijana wetu jando na unyagoni?
siku hizi hakuna shangazi wa kuzungumza na mabinti zetu...
na hakuna mapori ya kuwafanyia jando vijana wetu..... akizaliwa miezi
kazaa unamkata then basi.....
ila nimependa ujumbe ulioufikisha leo kwa wanawake.....
wanawake wa siku hizi wako kimaslahi zaidi atataka nyumba, gari, pesa
kujirusha club kwa sana kitandani zero.......wanasahau mapenzi ni sanaa,
mwili wa mwenza wako unapaswa uujue vilivyo, unajua ukimshika wapi
atasisimka, wapi midadi itampungua wapi "ata-preeze" mapema....... na
mwanamke ukijua hivyo hata kitandani hupati shida, akielekea kumaliza
kabla hajafika unajua umfanye nini ili safari ihairishwe, vivyo hivyo
wanaume, mnapaswa muijue miili ya wapenzi wenu vilivyo na kujua jinsi ya
kucheza nayo.......
usione wanandoa wanatunziana ukadhani mchezo...wanafikishana hao
{by the way nadhani somo lako haliwahusu wanaume ambao wakiona sketi tu
wana"preeze"}[/FONT]
Hiiivi? Wakati tunatumia nguvu nyingi kufikiria jinsi ya kumridhisha mume kitandani, tunafikiria jinsi ya kufirahia sisi wenyewe hiyo sex?
Mimi binafsi labda katika uselfish wangu lakini najishughulisha zaidi na kuenjoy sex mwenyewe; na mara nyingi kama si zote (l hope) on the process of enjoying it, my partner anaenjoy pia na possibly zaidi yangu.
Tuache kuwa watumwa, men cheat just because they can na si vingonevyo. I wish tungeshauriana jinsi ya kuenjoy sex na si kufanya kwasababu ya kumplease au kumkeep mume/bwana/buzi/hubby.
Na pia relationship hasa ndoa ni zaidi ya sex; kuna maswala mengine mengi tu ambayo kila mtu ana vipaumbele vyake!
Nice thread though; thanks Preta!
Kutokana na uzi huu hapa.........https://www.jamiiforums.com/mahusia...-kwa-nini-ulinimwaga-why-did-you-dump-me.html.......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......
Huwa tunajiuliza kwa nini mwanaume amenicheat.....sasa iko hivi.....
Men cheat where you don'e expect....Ukidhani kwamba kwa uzuri wako na elimu yako basi ndo hatatoka,unajidanganya..ukidhani kwa kujipamba na kujiremba na kunukia vizuri ndio utamshika,unajidanganya...Siri ya kumshika mwanaume iko kwenye vitu ambavyo wanawake wengi wa kisasa hawana muda wa kuvifanya..
Wanajiona wao wamevuka stage hiyo na hawapaswi kufanya kivileeee...Huku ni kujisahau na ni kosa kubwa sana...Girls should always manage their Artistic Rhyme on Bed...Bed is everything to a Man..
Wanawake wengi,wanakazana kuwa Classic,ukiwaona kwa nje ni warembo kwelikweli,ingia nao kwenye penalty box...ZIROOO!!
Wanawake wabaya,wanajijua wao ni wabaya,na hawawezi kushindana na wewe kwenye Mvuto na Muonekano,lakini amini usiamini,wako super ikija suala la Kitanda...Super kuliko..Utakaa na urembo wako,na utampoteza vilevile...Kila akiwaza wapi pa kupata game, wewe utabakia kuwa 2nd choice..The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......
Mwenye masikio na asikie......
Huko kwenye BED hao wababa wanapamudu kweli,
au ndo kamoja leo tena anasikilizia siku tatu anashtuka tena.
πoaπoa:juggle:πhoto:Preta, Erotica Smile hope mko poa. thanks erotica kwa kunitag manake huu uzi nyeti niliukosa. anyway mimi mfundaji wenu ngoja niwaambie haya machache tu. Wapendwa wangu what men want out of women is just joto na utelezi basi. mambo mengine yote, uzuri, fedha, kujiremba nk ni mambo ya kusindikiza tu ila ukweli ni kwamba la muhimu ni hayo mawili tu. Mambo haya kama wewe mwanamke huna huwez kumsisimua mwanaume hata kidogo kwani kama huna joto, mwili ni baridi, huna utelezi wewe kwke ni mateso tu na wala huna raha yyte.
kimsingi kabisa mautundu ya kitandani ndiyo yanayoleta haya na utundu huu hutokana zaid na hisia ulizo nazo juu ya huyu patna. Kama huna hisia ambazo zitakufanya ukubali kutoka moyoni kumpa raha huyo patna. yaani wewe hutakuwa mtam na hutamvutia huyo mtu kuendelea na wewe.
hisia unazokuwa nazo juu ya mtu, huamsha hamu ya kupenda kumpa raha muhusika na kukubali kutumika kutoa raha. ukisha kubali mwili wako kutumika kutoa raha definetly utatengeneza joto kw msukumo wa damu utaongezeka zaid na ubongo wako utapeleka taarifa kwenye respective glands ambazo zitatoa secretions ambazo huleta utelezi.
jamani kamwe huwez kuwa mtundu kama hutamani kutoa raha kwa huyo mwenza wako. ukikubali kutoa raha basi na wewe lazima utapata raha tu na utaonekana unajua kumbe ni ukubali wako tu. wapo wadada wengi wanaobakwa kwasababu ya fedha zao au sura na hata kufiki kuolewa halaf waume zao wanakuwa wanatafuta haya mtaani. Jamani kubalini kutumika kutoa raha, tena jachieni hasa. mwwenye kuhitaj mbinu zaid ani pm manake hpa nawafaidisha hadi hao akina kaka kama MziziMkavu, Asprin etc. see you
....."Godoro la dodoma"....raha yake kulilalia tu, usingizi ukiisha unasepa...
Preta Erotica Smile gals hope mko poa na thanks for erotica kw kunitag uzi huu ulikuwa umeipita. here I am ngoja sasa niwamwagie madesa ya what men like out of a woman. Siyo kitu kigumu sana kukijua but ukweli mwanaume yeyote rijali na anayejienda basi huwa anapenda vitu vifuatavyo kutoka kwa mwanamke. Vitu hivi ni joto lake la mwili na utelezi basi. Hata kama utakuwa mzuri kama malikia if your not sweet hakuna atakaye kuthamin bali watakuwa wana kupiga na kuacha.
utamu wako unatokana na utelezi wenye mvuto, pamoja na joto lako la mwili. Askwmbie mtu if you have these qualities umemmaliza huyo best. Nataman sana aje mkaka aseme ukweli what do they want kama hatakwambia haya niyasemayo. Utelezi huu kwako wewe mdada upo tu na huwa unweza kuuongezea kwa kuvuta hisia na kumfeel mr mwili unaachia utelezi wa kutosha. mwili kuwa na joto la kutosha hili hutokana zaid na binti kukubali hisia zako kwenye kile unachokiface. Kubal kuwa uliyenye atakupa raha then vuta hisia zako mweke at first place kisha kubali kumpa raha uone. Mautundu ya kitandani mara zote yanatokana na hisia ulizo nazo juu ya huyo patner. kama unahisia juu yake basi utajikuta mwenyewe unajiachia na unafanya mautundu ya kiukweli. Binafsi nawaasa wadada ikifika katika uwanja wa kujidai jamani achia hisia zako kabisa halafu taman kumfurahisha mwenzio, na kubali kutumika uone. haya ndiyo wayatakayo hao wakaka zetu. thats all love you all.
πoaπoa:juggle:πhoto:
Tatizo, usiku lazima uje, na utalazimika kulilalia tena .....hahaha Mbu bana unataka kuwa illusionist hapa?
Mwe........mie leo msomaji tu , nachangia ndogo ndogo maana mchaga mie nimetoka kapa, yaani hapo kwa bed ndo kabiiiiisaaa sina a wala be, ngoja nistick hapa pengine nitaambuliamo!