Hebu tufundane leo......


Mbumbumbu mwenye akili, aksante sana, hayo nloyafuta si kwamba hayana maana la hasha, NIMEYAKUBALI kwa 200% nimelibakisha hili kwa kuwa limegusa hisia zangu.

Unajua mara nyingi ninmekwishasikia wanawake tukidanganyana......eti sehemu nzuri ya kufikiza shida zako ni hapo!! Tumekuwa tukiambiwa wanaochuna mabuzi kuwa hapo ndo pa kumfanya akununulie japo kivitz ilhali mwenyewe anashindia gari ya ofc hata bajaj hana! .................

Leo umeniweka sawa akili yangu maana nlishaanzajihisi nina mtindio wa akili! Ubarikiwe
 
Hivi nyie si masoulmate wajameni?

Haswaaa hujakosea na ndo point yangu ilipolala, sie hatubanani wala kuliana timing eti nataka kumkamata asiruke si ndo mana nkasema yanipasa kununua X-pell kama nataka asitoke loh. Surely he is my Soulmate sihitaji manati bana!
 

ha ha... DENa Amsi bana.....usitake kufeli mtihani......
umesoma thread vizuri......hebu anza na hapa......
Kutokana na uzi huu hapa.........
Kwa nini ulinimwaga? "Why did you dump me".......inatulazim wadada tuelewe kitu kimoja.......

hebu kuja huku chemba kwanza tuzungumze......
 
Last edited by a moderator:
What I know men love what they choose to love. Hakuna kazi ngumu duniani kama ya kumfanya mwanaume akupende ila akikupenda kila kilicho kwenye mkondo wake ukimfanyia, u get credit. Swala la kucheat ni tabia na mtazamo. You might be excellent woman na bado akacheat.
Muhimu kwa wanawake ni kusema ndiyo kwa true love. It is hard to know, it is hard to choose but if u get it right, you are a winner. Also if you love him too, you are going to give the best of you and that comprises everything in your relationship. In your weaknesses (no perfect human being), he'll be patient and mask them with his strength. Love handle everthing with care. For the cheaters, it is ur time to be patient and show him that it is possible to have only one lover however the case, u'll always stand number one no troubles with nyumba ndogo who tries their level best on bed and forget that they are not his choices.
 
......enhe? kwahiyo mmeafikiana utamu wa usingizi kitanda, tandiko, mkeka au.....
Bado naufuatilia mdahalo huu kwa jicho la enhee....
 
umeona Dena unaweza ishia kumaliza lubrication za kiuno huku ukiambulia maumivu huyu Preta anahitaji viboko hapa.

 
Naona umeamua kuwadanganya wenzako LIVE!


Sio kuwadanganya Dawa ya maumivu tena unafanya mandingo yoooote lakini wapi aaahhhh

mie kwa kweli hapana nafanya vile niwezavyo basi aridhike asiridhike kimpango wake
 
kumfanya mwanaumae asicheat sio kuwa mzuri kitandani tu, zipo ishu nyingi sana hapo...mwanaume anaweza kuridhishwa vzr tu kitandani lakini kwa tamaa zake na tabia yake ya kurukaruka na kutaka kujaribu hapa napale anaanza kucheat...nipm nikueleze..


Inawezekana sawa lakini we si unajua response huja baada ya stimulus...........sasa kama unapata best stimulus kwa mpenzi wako utaenda nje kufanya nini tena?????? Hata ukionja utagundua you get it at best kwa mpenzi wako, so it is obvious utakaa hapo for good......kwa nini mnadhani wanaume ni wajinga tusioujua tunataka nini????

This is lethal conception and it is taking you down........wake up gals and face this just once
 

Ha ha ha ha Preta bana eti sijaelewa nimeeelwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaa SEX!!!!!

Ngoja tuongee chemba hapa watoto wengi
 
babu huyu mjukuu wako katuhamishia chumbani ati kwani alikuwa anataka nini au sijamuelewa.
embu msome hapo chini!!!!

Bed is everything to a Man..


Yaani kwenye hii yuziful sredi we umeona kwenye kukata mauno tu?
 
babu huyu mjukuu wako katuhamishia chumbani ati kwani alikuwa anataka nini au sijamuelewa.
embu msome hapo chini!!!!

Bed is everything to a Man..

Hahahaha sasa kumbe ulikuwa hujui?

Kupika, kuosha vyombo, kufua etc naweza kufanyiwa na mama yangu......... Lakini kitandani hawezi kulala na mimi bali wewe! Hakikisha unanilaza vizuri kabla hajatokea mtaalam mwingine wa kunilaza vema..... Preta ameharisha mapwenti sana asee....
 
Last edited by a moderator:
Preta asante kwa kunifundishia wadada hawa, nategemea kuona mabadiliko soon!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…