Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gan uwezi kuwa naye kwenye mahusiano ?

Binafs siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anaye vaa boksa ya kitenge,mvuta sigara

Nimeongea na mke wangu swali hili akanijibu hivi:- Kamwe hawezi kuwa na uhusiano na mwanamme.


Mtumiaji sumu kama alcohol na sigara.

Mfupi kuliko yeye.

Mshirikina na mwabudu mizimu.

Asiye na confidence.

Mmbea,

Msengenyaji,

Asiyejali familia.

Anayefuatilia mambo ya kike.

Mwenye fitina.

Mwenye dharau.

Mvivu.

Mwenye maringo.

Mwnye kujiamini bila kuwa na akili.

Anayethamini maneno ya mitaani na kutokuthamini uwepo ama mchango wa mke katika maisha.

Asiyejali wala kutetea hisia za mke wake.

Mwenye kiburi na ubinafsi!.

Mwenye hasira, visasi na vinyongo.

Malaya na mlaghai.

Mwenye kutaka kuwa na wake wengi kwa kisingizio eti dini na mila!. Pyuu!

Anayeogopa wanawake wasomi na kugandamiza uwezo wa mke.

Asiyeweza kumtetea mkewe katika hali zote wakati wako wote ama mke hayupo.

HUYO NDIYE MKE WANGU MWENZENU!.
 
Sipendi mwanaume anaejipa sifa

"Ati na uzuri sura unachangia" ,,khaa

Na wale hawataki uolewe ila wakutumie tu
Afu status wanaandika waiting for miracle,.
 
Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule
Huyu asiyemjua Mungu ndiyo anakuwaje mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya kitoto inakusumbua. Ukikua utagundua sifa za mwanaume bora ni zipi.
Mwanaume bora ???!!!! ili jeshi la mtu mmoja awe mwanaume bora awe mwanaume fake hainishitui muhimu kwangu mungu tu anaye nipa pumzi wengine wote ata wasipo kuwepo kwa maisha yangu hainishitui simtegemei mtu
 
Nimeongea na mke wangu swali hili akanijibu hivi:- Kamwe hawezi kuwa na uhusiano na mwanamme.


Mtumiaji sumu kama alcohol na sigara.

Mfupi kuliko yeye.

Mshirikina na mwabudu mizimu.

Asiye na confidence.

Mumbea,

Msengenyaji,

Asiyejali familia.

Anayefuatilia mambo ya kike.

Mwenye fitina.

Mwenye dharau.

Mvivu.

Mwenye maringo.

Mwnye kujiani bila kuwa na akili.

Anayethamini maneno ya mitaani na kutokuthamini uwepo ama mchango wa mke katika maisha.

Asiyejali wala kutetea hisia za mke wake.

Mwenye kiburi na ubinafsi!.

Mwenye hasira, visasi na vinyongo.

Malaya na mlaghai.

Mwenye kutaka kuwa na wake wengi kwa kisingizio eti dini na mila!. Pyuu!

Anayeogopa wanawake wasomi na kugandamiza uwezo wa mke.

Asiyeweza kumtetea mkewe katika hali zote wakati wako wote ama mke hayupo.

HUYO NDIYE MKE WANGU MWENZENU!.
Ofcoz na mimi namuunga mkono mwanaume wa hvo wa nini sasa kasahau mwanaume yule anaye kuganda ata uwe choon ukichelewa anakuuliza ulikuwa unafanya nini kha
 
Me sivai boxer za vitenge na sivuti sigara,nakula Sigara Kali/bwege2 bac au nayo ni Sigara??
 
Back
Top Bottom