Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Ile harufu ya sigara hapana aisee..... nikifikiria madhara ya nicotine kwangu na kwa watoto ndio nazidi kumchukia
Ok sawa,hiyo haruf sio inshu labda kama anavuta sigara cheap,pia baada ya kuvuta lazima nitafune kitu cha kutoa harufu,faida ya sigara inapunguza dopamine hivyo kufanya mapigo ya moyo yaende slow na kupunguza blood pressure,inafanya mtu kurelax,yaan sio mtu wa kupanik paniki,
 
Back
Top Bottom