Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

What kind of guy makes u comfortable? Unapenda mtu serious mda wote?
Hahaa noo sipendi mtu serious kabisa napenda mtu mcheshi maana me mwenyewe sijuagi kuwa serious😀

Ila hapo comfortable nilimaanisha yule ambaye atanikosha kwa vigezo vyake nitakavyoona vinanifaa no matter wengine wanamuonaje.
Unajua mapenzi bana unaweza sema nataka wa hivi half akatokea mwingine ana vigezo vyake tofauti na mkapendana mkaishi vizuri.
 
Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gan uwezi kuwa naye kwenye mahusiano ?

Binafs siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anaye vaa boksa ya kitenge,mvuta sigara

Never say never....moyo una mambo ya ajabu sana

Unaweza kuandika hapa siwezi kuwa na mwanaume mvuta sigara ikatokea ukaangukia kwa anayevuta sigara na bangi pia

Binafsi naweza kuwa na mahusiano na mwanaume yoyote lakini sipendi mwanaume mropokaji,mwenye kitambi na mfupi kuliko mimi

Kupangia moyo wa kumpenda ni jambo gumu kidogo
 
Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gan uwezi kuwa naye kwenye mahusiano ?

Binafs siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anaye vaa boksa ya kitenge,mvuta sigara
Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule
 
Niko nje ya muda...kuna boksa za vitenge?
Shikanisha
hqdefault.jpg
 
Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule
Nije pm?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom