Tiba JF-Expert Member Jul 15, 2008 4,604 3,163 Dec 4, 2013 #2 Mbona sielewi, yaani anapiga mswaki kwa kutumia bia? Au mcho yangu hayaoni vizuri? Majanga. Tiba
LexAid JF-Expert Member Jul 5, 2011 1,931 772 Dec 4, 2013 #3 Tiba said: Mbona sielewi, yaani anapiga mswaki kwa kutumia bia? Au mcho yangu hayaoni vizuri? Majanga. Tiba Click to expand... Ndiyo, Lakini hii inaelekea kama ni Zambia au Malawi vile. (Ndio zao hizi)
Tiba said: Mbona sielewi, yaani anapiga mswaki kwa kutumia bia? Au mcho yangu hayaoni vizuri? Majanga. Tiba Click to expand... Ndiyo, Lakini hii inaelekea kama ni Zambia au Malawi vile. (Ndio zao hizi)
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 Dec 4, 2013 #4 Je hii ni dhiki ya maji au kwasababu yupo adicted na hiyo kitu a.k.a biiiiieeeereeeeeee