Kutamani wa mwingine ilhali una wako ni dalili ya uroho

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wajumbe poleni na harakati za kulisaka tonge.Leo tujadili hili swala la kutamani ntu ya ntu ilhali una Yako.Imekuwa ikitokea Unakuta ntu inanchumba au hata nke ila haishi kutamani ya mwingine kiasi cha kupelekea muda mwingine uchepukaji.

Hifi huoni hiyo Yako ukiipiga brash yawezavutia kama Ile.Ashenale acheni hiyo bana mnawesa leta fesea kwa jamii. Tunsa chako bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom