Hebu ona huyu mburula!!!

Hebu ona huyu mburula!!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,523
Reaction score
146,044
10173585_483263918466630_534861444_n.jpg
 
Mwili kubwa akili ndogo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mwenye tatizo ni wewe Nyaningabu, usiyeweza kutofautisha watu. Huyo siyo Mwafrika ni Red-Indian, wenyeji asilia wa Marekani ya Kaskazini. Upo hapo?
 
Ilo ni vazi tu kwa jamii yao..kama lubega kwa wamasai acheni ushamba
 
Jamaaa anaonekana kabisa kaikaza ngaga kinoma pale hupenyezi mdude wako hata uwe na ky
 
mwanaume onyesha maungo yako yoote ila si nyama ya serikali jamani duu..hata kam ni utamaduni wangefunika n nyuma..bora wangeacha mbele. teh teh
 
mwanaume onyesha maungo yako yoote ila si nyama ya serikali jamani duu..hata kam ni utamaduni wangefunika n nyuma..bora wangeacha mbele. teh teh

Wee ameline, acha utukutu!
 
Huyu si mburula na usipende kudhalau utamaduni wa mtu hata sisi uko nyumbani kunatamaduni unaweza sema ni za kiburula lakini wenye tamaduni zao kwao ni poa tu.
 
Mwenye tatizo ni wewe Nyaningabu, usiyeweza kutofautisha watu. Huyo siyo Mwafrika ni Red-Indian, wenyeji asilia wa Marekani ya Kaskazini. Upo hapo?

Alikimbia historia huyo...hata triaengula slevu tredi haukumbuki.....
 
Back
Top Bottom