Hebu nisaidieni!

Zimmermann

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
2,790
1,232
Leo wakati najikumbushia program fulani ya computer nilikutana na formula ya kupata mwezi wa pili una siku ngapi kati ya 29 au 28 katika mwaka husika. Nimejiuliza sana ....hivi kama ulizaa mtoto tarehe 29 february 2000 leo hii huyo mtoto atakuwa na miaka mingapi? 11 au 2 au 11 toa siku chache zilizopungua kwenye miaka yenye mwezi wa pili ulio na siku 28 au vipi? hebu nijuzeni wadau!
 
ulisahau kujiuliza pia kuwa kuna miaka itapita bila mwanao kuwa na birthday's lol..
 
I got a friend mwenye birthday on that date, years ambazo feb haina siku 29 huwa anacelebrate on 28th.. Coz hana choice.. And the year is counted in full hakuna cha kutoa wala nini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom