Hebu muache kutuleteeni ujinga

Hebu muache kutuleteeni ujinga

mm hua sielewi jambo, hv n mm pekee yangu naiona jf kama sehemu yangu ya ku-refresh tuu hvy siwez kuwa serious na mambo ya humu au tatizo n nn?

mbona watu wanachukulia mambo ya huku serious sana hvy, hv mtu anawezaje kukasirika kisa mada za wengine ambazo yeye hazimuhusu
Yaan huyu dada yako ananikasirikia bila sababu, mpaka najionea huruma.
Ila nitakuja kumnyuka bakora siku moja huyu... Tena za kwenye maketio.
 
mkuu ni kuwa tagged tu ndo unakoroma hivyo au una sababu zako nyingine tu? maana umemkomalia mwamba as if wewe ni special hapa jf...
Wewe kukoroma hapa ni kwa sababu nime mjibu mtoa mada au una sababu zako nyingine?
hizi fake Ids unatoa wapi u~special na u~serious huo🚮🚮
Hayakuhusu pita hivi 🫴
Hii ni pilipili usioila ila ni kama inakuwasha vilivyo

Nadhani sijawahi kukuvunjia hishima popote stop ku ni quote kwa mambo yasio kuhusu maana mi pia sijawahi kuku quote popote Almsiki🤝

Kuna namna watu mnapenda kujipa umuhimu sana maana hii issue haikuhusu hata chembe👍
 
Wewe kukoroma hapa ni kwa sababu nime mjibu mtoa mada au una sababu zako nyingine?

Hayakuhusu pita hivi 🫴
Hii ni pilipili usioila ila ni kama inakuwasha vilivyo

Nadhani sijawahi kukuvunjia hishima popote stop ku ni quote kwa mambo yasio kuhusu maana mi pia sijawahi kuku quote popote Almsiki🤝

Kuna namna watu mnapenda kujipa umuhimu sana maana hii issue haikuhusu hata chembe👍
univunjie heshima unanijua? vunja basi hiyo heshima maana ndo akili yako ilipoishia... wewe ndo naona unajipa umuhimu as if tunakujua 🚮
 
Wewe ndio unajipa umuhimu
Umeona mimi ni ki ku quote popote sio wewe mwenye kihelele mkuu?

Acha mambo ya kike

Humu jukwaani nitafanya navyotaka na hakuna kitu utafanya utaendelea kubweka huko nyuma ya keyboard
 
Wewe kukoroma hapa ni kwa sababu nime mjibu mtoa mada au una sababu zako nyingine?

Hayakuhusu pita hivi 🫴
Hii ni pilipili usioila ila ni kama inakuwasha vilivyo

Nadhani sijawahi kukuvunjia hishima popote stop ku ni quote kwa mambo yasio kuhusu maana mi pia sijawahi kuku quote popote Almsiki🤝

Kuna namna watu mnapenda kujipa umuhimu sana maana hii issue haikuhusu hata chembe👍
hili ni jukwaa huru, hakuna watu special wasiotakiwa kuwa tagged, hasira, ukubwa na visirani vya uraiani unaviacha hukohuko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom