Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,568
- 2,924
Mimi ni msichana wa miaka 21 ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali mpeenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.
Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda. je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza.
Ushauri tafadhali
weeeee binti kuwa na wapenzi kila mtandao wa kijamii na kwingineko na unasikia UMALAYA!! je uko uko basi dondoka na wote tu , ila kiama hauko huko wajua moyo wako uko wapi. be blessed