Hebu mpe ushauri huyu binti

Hebu mpe ushauri huyu binti

Ngoja tu-bet alaf tutakuambia ongeza na mmoja wa jf odd ziongezeke
 
Mimi ni msichana wa miaka 21
ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na
ninamjali
Mpenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi
mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.

Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu
ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda
#Nushaurini
je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza

umalaya ni fani yaan mjitu at 18 alishapanuliwa??????
 
Mtu anakaa anawaza tu sijui nianzie uzi gani, matokeo yake pumba kama hizi.

Kwani usipoanzisha uzi utaharisha au utaumwa kifaduro? Wanaboa for really

Mie nashangaa yaani huu ni uzembe wa kufikiri!! Kwa kweli inabidi tubadilikee
 
changanya wote watatu..instagram,facebook na huyu bwana mtoaji...kama vpi ongeza wa whatsapp,viber na wechat
 
mapenzi ya pesa kumbe??? kwaiyo kama anakuhudumia je? na uyo wa insta je asipo kuhudumia cndo utamkimbia siku nusu saa….. hembu ni pm kwanza nikupe yako!
 
Huko kote una zungukaa, JF kuna mawaziri, Wabunge, wakuu wa wilaya , wanao miliki ma kampuni yao, we atake Kutaka humu usikatae unaweza kua Star Na wewe..
 
iyo roho ya kikahaba acha wote ukiendelea utajikuta unampenda na baba yako mzazi, ushauri waache wote unaharibu uthamani wako. by from Jesus Christ
 
Haka katoto kanaboa????unafaa kweli ingefanyiwa to....h..r..jeuri hiyo ya kukitembeza ungeacha...umeniboa.....badili tabia la sivyo magonjwa ya via vya uzazo vinakuhusu..!
 
Back
Top Bottom