Hebu mpe ushauri huyu binti

Hebu mpe ushauri huyu binti

gilby

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
15
Reaction score
3
Mimi ni msichana wa miaka 21 ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali mpeenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.

Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda. je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza
.

Ushauri tafadhali
 
Mimi ni msichana wa miaka 21 ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali
Mpenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.

Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda
#Nushaurini je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza

Kwanza binti ukiwa muongo uwe na akili...ulipo hapo una wapenzi watatu, mmoja ni huyo mfadhili, wapili ni wa Instagram na huyo unayempenda Facebook.

Mathematical huyu anayekuhudumia umeanza naye ukiwa na miaka 18 na nadhani ulichofata kwake ni huduma tu ila sasa umeshaanza kujua Intagram na Facebook ndo maana unaona hana tena maana...ushauri wangu ni kwamba ingia kwenye mitandao yote ya kijamii utafute wapenzi, kaa nao miaka kumi mbeleni utakuja kujua ni nani alikuwa heaven sent!
 
nitumie namba yako nikushauri kwa njia ya whatsapp na video
 
Aiseee.......
Nimepote njia,
Ngoja wakuje wavulana na wasichana wa insta na fb
 
Yaani umuache mtu wa ukweli ulokuwa nae uwe na mtu wa instagram???tamaa itakuponza binti!!!
 
Facebook na Instagram kote una michepuko? Basi naomba unipe nafasi mimi niwe wa JF?
 
Kuwa nao wote tu, huyo wa kwanza, wa instagram na huyo wa Facebook haina tatizo lolote!
 
Acheni wanawake wote waje kwangu maana kwangu kuna ufalme wa mbiguni!
 
Back
Top Bottom