Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
Dr Gerlad Shija UDOM huyo ni balaa,anakufundisha hadi maisha ya Ku behave kazini,somo lake ukiingia hutamani kipindi amalize.Mitihanani yake ya kutumia akili sana.Shikamoo Shija popote ulipo.CNMS UDOM 2018.
Mwamba wa Chemistry huyo....Mathematics for chemist,Quality Control and Assurance,Industrial chemistry,Quantum Chemistry hizo kozi Math for Chemist na Quantum chemistry ilikuwa tishio mnaona semester ngumuuuu hahahaha!
!
Bila shaka atakuwa alikuwa mwalimu wa masomo yetu ya maelezo......hahahahahaha watu bwana. Wazee wa social
Indeed, Nsajigwa "Mdau", jamaa mjanja mjanja sanaa 😄, sema yupo smart sana upstairs.Hawa wote ni watu poa sana
Hapo ongeza na
Dr. Nsajigwa Mbije
Prof. Japhary kidegesho
Prof.Shemweta
Prof. Dos Santos Silayo
Hawa jamaa Mungu awabariki sana
Dr Shilla pale Mlimani!
Dgo acha kuharibu uzi wa mwenzioKichaa ni wewe MATAGA
Eti na wewe unajiita docta uchwara
Ukisikia corona unakimbia
MATAGA Kweli
Sent by IPhone
Huyu bwege alikua nakasimu ka tochi,mim nilikua sisomi kule social sciences nilikua Coet ila huyu bwege lwaitama nilikua namkubali sana,Dr utadhan mkulima flan hiv,huyu alikua hana muda,yeye akipiga shat yake ya kitenge surual makobasi kamaliza,mchaf chaf flan,ila yuko nondo sana naskia
Huwa anafundisha course tofauti nadhani maana hata international economics alifundisha
Ndugu wa Lissu wa Ubeligiji au?
Huyu ni ndugu yake tundu lisu??
Sent by IPhone