Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

!
!
Anaitwa TID Alikwaga CBE Dodoma ......Namshukuru sana aisee sana sana mbali na kunisaidia Kupiga A ya Reseach alikuwa ananikubali mno japo sijui kama ananikumbuka kwa saabu tulikuwa tunakutana tu mazingira flani kiingereza kingi mle chuoni halafu nilikuwa nakijua ....kwa hiyo haikuwa shida
 
Dr Gerlad Shija UDOM huyo ni balaa,anakufundisha hadi maisha ya Ku behave kazini,somo lake ukiingia hutamani kipindi amalize.Mitihanani yake ya kutumia akili sana.Shikamoo Shija popote ulipo.CNMS UDOM 2018.


!
!
Bila shaka atakuwa alikuwa mwalimu wa masomo yetu ya maelezo......hahahahahaha watu bwana. Wazee wa social
 
!
!
Bila shaka atakuwa alikuwa mwalimu wa masomo yetu ya maelezo......hahahahahaha watu bwana. Wazee wa social
Mwamba wa Chemistry huyo....Mathematics for chemist,Quality Control and Assurance,Industrial chemistry,Quantum Chemistry hizo kozi Math for Chemist na Quantum chemistry ilikuwa tishio mnaona semester ngumuuuu hahahaha
 
Dr.Towo MD huyu jamaa ni genius ,Prof Malele fundi mmoja wa Pharmacognosy pamoja na Prof Nshimo kisha weka mzungu wa roho Dr Kalala hapa namwongeza Dr Kabati (jamaa ana lifestyle flani nilikuwa nalielewa sana) mwisho namweka bibie Prof Temu mama mmoja hivi ana roho ya peke yake .

Ngoja niweke na mwalimu wangu wa High school wa biology Mama Mbele popote ulipo ulinijengea confidence na uwezo wa kujieleza popote pale nitakapokuwa duniani na Madam Florida kuhakiki facta zangu kabla sijazungumza weka na Madam Florence wewe maza Mungu akubariki

hawa watu wengi ni wastaafu sasa kama sio kurudi kwa Muumba nawashukuru sana popote walipo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dr Exaveli Lwaitama

"I'm here to confuse you not to teach you"

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwege alikua nakasimu ka tochi,mim nilikua sisomi kule social sciences nilikua Coet ila huyu bwege lwaitama nilikua namkubali sana,Dr utadhan mkulima flan hiv,huyu alikua hana muda,yeye akipiga shat yake ya kitenge surual makobasi kamaliza,mchaf chaf flan,ila yuko nondo sana naskia
 
Dr.balla maselle wa UDSM (linguistic)alikuwa ni zaidi ya mafunzo mengine ya maisha nje ya shule.Mungu amrehemu huko mbele ya haki alipotangulia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom