Hebu jaribu hii.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Fungua computer yako>>nenda google>>type neno "let it snow">>tupe report.
 
Mkuu hiyo ni kweli,big up
 
ama kweli hii ni kali ya mwaka,,,,,,tunakoelekea hata smell zitatokea, big up mkuu
 
Eee bwana eee.Nisije kukumbana na virusi vya mwaka mpya 2012
 
Teh teh jamaa kaichota kule jukwaa la science & tech kaiweka kapa, nyingine hapo hapo kwenye google chrome type 'let it roll' utaipata habari yake

Fungua computer yako>>nenda google>>type neno "let it snow">>tupe report.
 
Teh teh jamaa kaichota kule jukwaa la science & tech kaiweka kapa, nyingine hapo hapo kwenye google chrome type 'let it roll' utaipata habari yake
I took it somewhere lakini sio huko unakosema wewe,nina miezi mingi tu sijatembelea jukwaa hilo,hii ni coincidence tu!
 
Teh teh jamaa kaichota kule jukwaa la science & tech kaiweka kapa, nyingine hapo hapo kwenye google chrome type 'let it roll' utaipata habari yake

Ntaipata habari yake? Kuna nini? TV au Radio?
 
Mbona mm sijaona hzo snow, Uongo tu

Hapana malaika2. Pengine huko mbinguni ulikuwa na haraka. Ukishatype ' let it snow' na kubofya 'search' ukurasa unaofunguka umejaa ukungu mnene wa thelluji na vitu vya aina hiyo. Mimi nilishuhudia hayo maajabu karibu niseme screen yangu ina virus. Safari hii usiwe na haraka ya kukimbilia mwaka mpya. Jaribu tena uone vituko vya 'web technology'
 
But I wonder wengine wanasema si kweli,anyway you just click 'defrost',snow zote zita-clear away!
 
Mi nime type inaleta. Inaleta. Covers za Dean martin youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…