Hebu hili tulitafakari pamoja wadau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu hili tulitafakari pamoja wadau

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bajabiri, Jun 28, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Binadam wana utaratibu wao kutongozana na hadi wanapofanya mapenz.........lakini wanyama nao wana utaratibu wao,na ndege nao wana utaratibu wao,mathalan KUKU,jogoo anapotaka kukutana kimwili na kuku jike,kinachotokea hapo ni kuanza kukimbizana kwa muda mrefu sana,kama jogoo legelege na hana mazoez anaweza akakosa penzi,najiuliza kwanini inakua hivi,Imagine na binadamu wangetumia style kama ya kuku je ingekuaje?hasa maeneo yenye msongamano kama vile posta,kariakoo,au ONE WAY DODOMA,au eneo lolote lenye msongamano wa watu......ukiwaangalia mbwa nao ndio usiseme,wakinatana hapo,mmmmh
   
 2. samito

  samito JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mungu alisema awepo kuku, mbwa nk lakini kwa mwanadam akamuumba kwa mkono wake mwenyewe! so huwez mfananisha mnyama na mwanadam hata siku moja, wanyama wana-do for production na sio starehe, wanadam 2na-do kwa ajili ya production na starehe pia, thus y 2naitaj privacy ya ukwee. ila sred yako bana
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaaahh!!!! Ngoja nikapate chai kwanza....LOL!!
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,254
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hahahahahaa! Ilikuwaje waje mpaka ukapata hili wazo mkuu? Au umewaona mbwa asbh hii sehemu sehemu?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mopao,unajua ukiwaza matatzo ya tanzania na vioja vyake utapasuka kichwa ndio maana mda mwingine tunatakiwa tuwazue na style hizi
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,951
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Ya SWALA ni kiboko!!!!!!
  Winner take ALL!!!!!
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaa,imekaaje sridi hiii??Unajua samito mda mwingine nikiwaona hawa viumbe huwa nawatazama kwa makini,na huwa nawaza pia why so??????au ndio mapozi,kwanin jike likimbiiie
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sawa katavi......
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Katavi bado unakunywa chai????
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,334
  Likes Received: 3,601
  Trophy Points: 280
  Mi nafkir ingekua poa tu, mambo ya kubembelezana mpaka sometyms kufikia kuingia gharama wakat raha tunapata wote yasingekuwepo
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Aaaaa,kwani sasa hivi raha hatupati wooteeeee
   
 12. M

  MNYAKI MZALENDO Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utafakari na nani wewe,try to be conscious we bitoz usilete mada za facebook
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mimi nafikiri kuwa sisi tungekuwa na style za kuku na kuku wangekuwa na style za watu hivyo kuku wasingetushangaa kabisa.
   
Loading...