Hebu ckia hili toto

Hebu ckia hili toto

jino kwa jino

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
794
Reaction score
192
[h=6]TOTO:Mama unajua hausigel wetu ni malaika?

MAMA:Kwa nini unasema hivyo?

TOTO:Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema... Ooooh yesu wangu nakuja....Oooh yesu wangu nakuja jamani!Yaan isingekuwa baba kumshikilia kwa nyuma nae akiwa uchi, saa hizi angekuwa mbinguni!

MAMA: WHAAAAAAAAAAAT!?
[/h]
 
Je wamsema yesu mnazareti aliye kufa lakini akafufuka katika wafu? Ndugu wahi magotini kama unamtaja huyo!
 
Duu! Toto halina adabu hilo...mbavu zangu da!
 
am a muslim but i hate jokes to JESUS........any way its a joke, funy
 
Du mbaya sana kama watu wanamtaja Yesu mpaka kwenye uzinifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom