Hebu chunguza hii picha kwa makini

Hebu chunguza hii picha kwa makini

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
Hii nime screenshot suggested group kwenye Facebook, nikajikuta na cheka saaana
1481116850618.jpg
 
Daah. Lawama zote kwa Mwl wangu
 
Kwamba picha zote hizo ni za mtu mmoja ila anajiweka ktk mtazamo wa jinsia ya kiume au kike! Sijui kama nipo sahihi. Halafu yupo group la wafanyabiashara wanawake!
 
Itakua wameweka picha za waume zao. Lakini pia neno entrepreneurs wamelikosea
 
Hapo ni kila mwanamke na mume wake wameweka profile picha wakiwa na wanaume zao.
 
Lakin hata hivo najaribu kutizama sura za hii couple 2 naona kama sura ni zilezile kasoro rangi tu
 
Back
Top Bottom