Hebu angalieni Magazeti ya Mchongo yanavyojidhalilisha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,317
Kuna wakati niliwahi kuhoji mmiliki wa Gazeti duni la Wamachinga , nililistukia kutokana na mwenendo wake , kiukweli gazeti hili na mengine kadhaa bila shaka yanaendeshwa kwa ruzuku maalum , mithili yale Magazeti ya Musiba , maana hakuna anayeyanunua popote Tanzania.

Hebu someni walichoandika halafu toa maoni yako , Magazeti mawili mwandishi mmoja ! Aibu sana !

Screenshot_2023-08-20-01-34-02-1.jpg
Screenshot_2023-08-20-01-34-17-1.jpg
 
Nchi Ina pesa hii!!!!

Ndomana unakuta mfanyabiashara dar anaagiza vitenge ug vinavyopita bandari ya dar vikalipiwa Kodi hapa na ug,vikasafirishwa na Bado vikawa cheap kuliko vya dar!!!

Pesa mingi sana zinaenda kufanya upuuzi Badala ya kubadili maisha ya raia!!!
 
Kuna wakati niliwahi kuhoji mmiliki wa Gazeti duni la Wamachinga , nililistukia kutokana na mwenendo wake , kiukweli gazeti hili na mengine kadhaa bila shaka yanaendeshwa kwa ruzuku maalum , mithili yale Magazeti ya Musiba , maana hakuna anayeyanunua popote Tanzania.

Hebu someni walichoandika halafu toa maoni yako , Magazeti mawili mwandishi mmoja ! Aibu sana !

View attachment 2722124View attachment 2722125
Unaweza kuta wamiliki wake ni wale vijana wa Lumumba wanamfurahisha bwana mkubwa, sanaaa sanaaa tu.
 
Kuna wakati niliwahi kuhoji mmiliki wa Gazeti duni la Wamachinga , nililistukia kutokana na mwenendo wake , kiukweli gazeti hili na mengine kadhaa bila shaka yanaendeshwa kwa ruzuku maalum , mithili yale Magazeti ya Musiba , maana hakuna anayeyanunua popote Tanzania.

Hebu someni walichoandika halafu toa maoni yako , Magazeti mawili mwandishi mmoja ! Aibu sana !

View attachment 2722124View attachment 2722125
Ongezea na Jamvi...
 
Mafutataa yakimwagwa shimoni lazima mpaka viroboto watoke
 
Nchi Ina pesa hii!!!!

Ndomana unakuta mfanyabiashara dar anaagiza vitenge ug vinavyopita bandari ya dar vikalipiwa Kodi hapa na ug,vikasafirishwa na Bado vikawa cheap kuliko vya dar!!!

Pesa mingi sana zinaenda kufanya upuuzi Badala ya kubadili maisha ya raia!!!
Upuu kama wa mabango yaliyo jaa kila Kona yakisifia sijui ela inatoka fungu lipi hii na Jiji linakusanya kodi kwa haliyeyaweke?
 
Kuna wakati niliwahi kuhoji mmiliki wa Gazeti duni la Wamachinga , nililistukia kutokana na mwenendo wake , kiukweli gazeti hili na mengine kadhaa bila shaka yanaendeshwa kwa ruzuku maalum , mithili yale Magazeti ya Musiba , maana hakuna anayeyanunua popote Tanzania.

Hebu someni walichoandika halafu toa maoni yako , Magazeti mawili mwandishi mmoja ! Aibu sana !

View attachment 2722124View attachment 2722125
Inawezekana, kwa nini isiwezekane

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati niliwahi kuhoji mmiliki wa Gazeti duni la Wamachinga , nililistukia kutokana na mwenendo wake , kiukweli gazeti hili na mengine kadhaa bila shaka yanaendeshwa kwa ruzuku maalum , mithili yale Magazeti ya Musiba , maana hakuna anayeyanunua popote Tanzania.

Hebu someni walichoandika halafu toa maoni yako , Magazeti mawili mwandishi mmoja ! Aibu sana !

View attachment 2722124View attachment 2722125
Wanakaa "nyagwa" hao!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom