Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,218
- 219,394
Kuna wakati niliwahi kuhoji mmiliki wa Gazeti duni la Wamachinga , nililistukia kutokana na mwenendo wake , kiukweli gazeti hili na mengine kadhaa bila shaka yanaendeshwa kwa ruzuku maalum , mithili yale Magazeti ya Musiba , maana hakuna anayeyanunua popote Tanzania.
Hebu someni walichoandika halafu toa maoni yako , Magazeti mawili mwandishi mmoja ! Aibu sana !
Hebu someni walichoandika halafu toa maoni yako , Magazeti mawili mwandishi mmoja ! Aibu sana !