Hebu angalia picha hii ya kizazi cha digitali

Hebu angalia picha hii ya kizazi cha digitali

Milestone

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
376
Reaction score
413
Je kweli tutafika ???
 

Attachments

  • Digitali.jpg
    Digitali.jpg
    16.7 KB · Views: 1,361
Nimecheka mpaka makamasi ha ha ha
 
Sasa unamuwekea wezere usoni mwake unategemea afanye nini? Afumbe macho aanze kusali?
 
Nyonga laini kama hiyo hata mtoto mdogo anaweza ona jinsi ilivyo na mirindimo maridhawa...
 
laity mngejua watoto wanavyopenda mambo ya kikubwa,hata msingeshangaa.,,motto wangu huwa ananipa shida sana nyumbani akiona miziki ile ya migongomigongo.anakenua meno kwa furaha mpaka naogopa,ukitoa anasema baba acha hiyo!!
 
Huyo lazima atakuwa mjukuu wa Asprin amerithi tabia za babu yake akiona mzigo anatamani akague
 
Last edited by a moderator:
Je kweli tutafika ???

Kizasi cha digitali hatari.
Bora mie nliyezaliwa ktk era ya analojia.., mabadiliko yalikuwa yanatokea kwa kasi ya konokono! Nowadays mabadiliko yanatokea kama vile tunanavyopiga kopeee mpaka Dogo anakodolea na kumezea mate ustaarabu..
 
Khaaa! huyo mbona ni mwanangu! Jana nilimtuma dukani akachelewa kweli, kumbe ndo mambo yaliyomchelewesha vile. Nikitoka job lazima nimwonyeshe hii picha. Atanitambua leo
 
Mitoto mingine bwana! Hili linaonesha kuwa huyu dogo atakuja kuwa kidume wa ukweli katika maisha yake!
Kisha lazima awahi kubalehe kabla ya wakati!
 
Back
Top Bottom