Hebu angalia hii picha vizuri.....

Hebu angalia hii picha vizuri.....

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Unaweza mfikiria huyu dada vibaya bure!

That%E2%80%99s-NOT-an-extremely-provocative-woman..jpg
 
Mbona kakaa vizuri tu ?????
Ni macho yako tu ndio yanakufanya ufikirie tofauti
Wewe Umeona nini cha tofauti hapo ???
 
Huko kumechisha rangi ya kiti cha gari na rangi ya mwili ndiyo imeleta shida hiyo!
 
hahaa mie mwenyewe wakati nashuka nikawa najiuliza

mmh huyu bidada anataka kutuonyesha nini wallah
 
Amekaa kawaida tu au labda huo mkono wa kulia umepeleka mawazo yako yawe tofauti
 
hata angekaa hivo unavyofikiri mbona poa tu
 
Ukaaji wake bado unatia mashaka tu, huo mkono wake wa kulia kapachika wapi!!?
 
Back
Top Bottom