Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,406 May 4, 2011 #1 hiki nacho ni kipaji au sifa zimezidi...
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 159 May 4, 2011 #2 Huyo sifa hana kipaj chochote huyo!kuna uwezekano huyo ni kula kulala ndo mana ana muda wa kufanya upumbavu!
Huyo sifa hana kipaj chochote huyo!kuna uwezekano huyo ni kula kulala ndo mana ana muda wa kufanya upumbavu!
wapalepale JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 259 Reaction score 58 May 4, 2011 #3 tizo1 said: Huyo sifa hana kipaj chochote huyo!kuna uwezekano huyo ni kula kulala ndo mana ana muda wa kufanya upumbavu! Click to expand... tena yaelekea an deka sana kwa mzee wake asipo nunuliwa nguo za thukukuu analia na kula hali siku hiyo
tizo1 said: Huyo sifa hana kipaj chochote huyo!kuna uwezekano huyo ni kula kulala ndo mana ana muda wa kufanya upumbavu! Click to expand... tena yaelekea an deka sana kwa mzee wake asipo nunuliwa nguo za thukukuu analia na kula hali siku hiyo
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 May 4, 2011 #4 wanaita 'sifa za kijinga',kumbe wazungu nao crap eeh?
chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 May 4, 2011 #5 Ni mashindano au?maana mpaka lije kuisha lazima aji**ee
I IPECACUANHA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,925 May 8, 2011 #7 Toto tundu akikua ataacha. Hama kipaji chochote hapo ni mwendo wa kugonga kwa wingi kila kitu....Chakula na Pombe.
Toto tundu akikua ataacha. Hama kipaji chochote hapo ni mwendo wa kugonga kwa wingi kila kitu....Chakula na Pombe.