mechi 7 goli 8...Super Mario Balotelli...

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
katika hali ya kuwasuta mahasidi, Mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu ambaye anaweza kufunga magoli ya aina zote na yenye ladha Super Mario Balotelli hapo jana aliweza kuisaidia klabu yake kipenzi ambayo pia ni yenye mafanikio zaidi Duniani yaani AC Milan kupata point 3 huku yeye akifunga magoli mawili pekee.

Kwa mahesabu yaliyopo sasa yanaeleza kuwa Mario Balotenga ameshaichezea AC Milan mechi 7 na kuifungia goli 8.

Forza Balo...
 
mwandishi mmoja wa web moja ya Soka nchini Italia amemuelezea Balomania kuwa

''The striker tormented the Palermo defence all afternoon with his power and trickery.
Won a penalty and then dispatched it himself after just eight minutes to put his side on
their way to victory. He grabbed an opportunistic second to halt a potential Palermo
comeback after the break...he is superb, he is a man and a half''...
 
I have always being admiring striker of his kind, young/full equipped, talented, skillful and energetic player no one will afford to miss on his side! I am wondering how Mancini played with this gold boy...he will always regret....
 
Alicheza mechi 20 kwa Ndetichia na akafunga Goli 1...
Kaja kwa Gang Chomba kacheza mechi 7 then amefunga magoli 8.
Hapo utagundua kuwa ukitaka mafanikio ya Soka basi nenda AC Milan...
 
hata hivyo balo45 bila ya city kumkomalia asingefika hapo balo45 anajua basi tu maepe ya huyu kocha ndio yameharibu ladha ya city..
 
Ndetichia Balo anajuwa mpira tangu yupo Inter bana...
Balo ni maarufu tangu yupo Inter na Mou Camp ooh Sorry Mourinho.
 
Baloteri anajua unyanya ndo unamzingua kijana.
Nilishawi msikia mbabe ida kadabla akisema yeye ni chizi ila baloteri kamzidi uzuri anajua kushinda magori.
 
tatizo hakawihi kuboronga

Wakati unaandika hiyo post yako yeye kule alikuwa anaisawazishia timu yake ya taifa katika mechi ilioisha kwa suluhu ya goli 2-2 dhidi ya Brazil.

Balomania funga midomo mahasidi...mwaka wako huu
 
tatizo sio kama hajui,hila vituko vyake vinamfanya muda mwingi upotee kwenye mambo yasio na maana
 
Wakati unaandika hiyo post yako yeye kule alikuwa anaisawazishia timu yake ya taifa katika mechi ilioisha kwa suluhu ya goli 2-2 dhidi ya Brazil.

Balomania funga midomo mahasidi...mwaka wako huu

dah hili jembe ni hatari sana.. kudos balo45
 
Baloteri anajua unyanya ndo unamzingua kijana.
Nilishawi msikia mbabe ida kadabla akisema yeye ni chizi ila baloteri kamzidi uzuri anajua kushinda magori.
bora alipwe kidogo kuliko kucheza na wasiojua(EPL) wametufanya hata ubongo wetu ubaki kusifia uozo tu fanya kweli tuwakilishe blackman african
 
Alicheza mechi 20 kwa Ndetichia na akafunga Goli 1...
Kaja kwa Gang Chomba kacheza mechi 7 then amefunga magoli 8.
Hapo utagundua kuwa ukitaka mafanikio ya Soka basi nenda AC Milan...

Manchini hakujua namna ya kumtumia. Ktk hizo 20 alianza 3 tu na hakuna mechi aliyocheza dk 90! Halafu alikuwa anachezeshwa nyuma ya striker au kama outward striker. Balo naturally ni central forward .. kama anavichezeshwa na kocha wa Azuris
 
wakati naandika post hii Balotelli alikuwa keshatupia goli 2.
Malta 0-2 Italy...
 
"The striker tormented the Palermo defence all afternoon with his...trickery.
Won a penalty and then dispatched it himself after just eight minutes to put his side on
their way to victory. He grabbed an opportunistic second .."

Kumbe anajiangusha na kuotea hovyo hovyo kama ze Inzhagi brothers!
 
Back
Top Bottom