Heavy menyuuuu na mafruitiiii

Duh, hiyo menu haina formula kabisa. Unajua ukila wali nyama ukaongezea na ndizi mbivu just after kula jumlishia na zambarau hapa sipati picha..
 
woga wako tuu haya we penda ma chilli na tomatos pia acha vitu vya supermakert
 
Afya bwana! Mwili haujengwi kwa tofari! Wabongo hawapendi afya zao unakuta mtu anakula ugali anashushia gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…