Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Kabisa kabisa yaani....ata sijui iko mtaa gani
ww ni mfano wa kuigwa
Kabisa kabisa yaani....ata sijui iko mtaa gani
wewe tena ngoja Heaven Sent arudi nahisi pm pamenoga
ww ni mfano wa kuigwa
wewe tena ngoja Heaven Sent arudi nahisi pm pamenoga
Mmmmmh mwanamke mmbea kiama hahahaa. Me nipo tu bana
heee heee mambo yote kunako piemuu. wakirud hapa kila kitu kwisha....
shikamoo ba mkwe
Umeona eeeeh....asante sana
As ante mkwe..! Si unaujua ule usemi wa siku hizi? 'Mkwe......'
mkwe nawe heshima yako huitaki eeeh
Nimepokea kwa mikono miwili mengine yalikuwa vijimambo tuu HP its alright mkwe
Heaven sent nashukuru kwa usikivu