Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

Salama kaka except kwa hili la leo!!!!!
Nimesoma updates sasa nimeelewa!!

Pale ulipoandika "naweza kusema" sikuwa nimepapata vizuri!!!!

Same boat now kaka

No crime committed
Nilifikili unadhani mi DR?
 
Yaani sijui hata niseme nini ..........!!!!!!
Sijui hata kama nina hasira au kitu gani

Inaumiza sana

Lakini nashukuru kama anaendelea vyema
Mungu wetu amponye..........!!!!!!!
 
Back
Top Bottom