Heaven on Earth amempotezea wapi Judgement?

hivi hujui kuwa nilimwacha lupango kule anamalizia kesi yake ya kujibu kwani
yye anakesi nzito hivyo kutoka ban itachukua malongo 3
kwa hivyo kumpata hapa mpaka mamods wapende wao
 
Heee yaani mlifungwa pamoja,
Umetoka salama lakini?
hivi hujui kuwa nilimwacha lupango kule anamalizia kesi yake ya kujibu kwani
yye anakesi nzito hivyo kutoka ban itachukua malongo 3
kwa hivyo kumpata hapa mpaka mamods wapende wao
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa mshenga wangu sijamsikia siku nyingi sijui yukowapi?
 
HA HA HAAA
Nikasikia vibaya eti kama vile bweni ni moja, looooh.
nimetoka salama kabisa
kule kuna bweni la wanawake na
bweni la wanaume hivyo tunakutanishwa
tu kwenye kazi kama zinaendana pamoja
 
hapana mabweni tofauti kule
kwani mamods wanaogopa kutuweka pamoja kutokana na
mabazazi wa humu hawana huruma wanameza sana

katika majukumu kule ndipo tunakaa pamoja na kuweza
kuchat kila mmoja anamwambia mwenzake alifikaje kule
yaani ni jukwaa gani lilimpeleka kule, na mambo mengine
ya maisha tunafundishana kuishi kwa upendo ndo mana
mtu akitoka kule anakuwa wa tofauti kabisa muulize Baba V
HA HA HAAA
Nikasikia vibaya eti kama vile bweni ni moja, looooh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…