Tutauana kwa presha bureee!!!
Umeonaee,sijiu kwa nn hatuoneani huruma humu ndani,Vila kiukweli HOE ni...
sanamu Zuri sana,limechongwa huku linajitaza mpododo.lol!
Gharama zikoje tuongee dili umeiona hii lakini?View attachment 194678
Wawe wanaweka "warning"Umeonaee,sijiu kwa nn hatuoneani huruma humu ndani,Vila kiukweli HOE ni...
Hahaaaaaa brother... mie mwenyewe nimeshtuka ujue..
aa ee ii oo uu....kigugumizi.
wapii hii nihamieko hawa wanaishi kama enzi za adam na hawa raha mstarehe
Nani mtani jembe hapa
Tupige kura.
Takupeleka usijali
Ukimchelewesha atakosa huwa hawakai sana mahali pamoja.