Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Wakubwa wanafaidi jamani.....lol
Moyo unaruka kichura chura hukuuuuu!!!!
Wewe mtajwa weweeee
Niliangalia kwa jicho moja kwanza!!! Nikajua daaaaanh tayari aibu kumbe utani
Wakubwa wanafaidi jamani.....lol
...honey sio kweli,wachache ndo wanafaidi,ukubwa sio dili tena...
Haaaa mie niliwaza mbona leo niko nyumbani muda wote nimefumaniwa wapi tena.......
Title hizi
ni hatari ukimuona unawaza ngono tu!
inasikitisha...
Niliangalia kwa jicho moja kwanza!!! Nikajua daaaaanh tayari aibu kumbe utani
Hahaaaaaa mtajwa kafanyaje tena...
Kuna siku nitajigeuza niwe mchanga au mnyoo japo kwa wiki moja
Haaaa mie niliwaza mbona leo niko nyumbani muda wote nimefumaniwa wapi tena.......
Title hizi